Laana ya viapo inavyowatafuna

Laana ya viapo inavyowatafuna

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Mtu mzima na akili zake anakamata kitabu cha dini ya imani yake na kuapa halafu anavunja kiapo chake kwa kumdhihaki Mungu na kudhani maneno aliyoyatamka ni masihara.

Matokeo yake ni mateso, majuto, uchungu na laana.

Kwa mfano..wengi kama si wote. Wanasumbuliwa na mashinikizo ya damu, kisukari, kukosa nguvu za kiume, kansa, watoto kuharibikiwa kwa ulevi na dawa za kulevya pamoja na ushoga.

Nini suluhisho.

ALAMSIKI
 
Kwa viongozi wa kitaifa kuapa Kwa Mungu kwa kutumia vitabu vitakatifu ni nadhiri kubwa sana wanaweka kwa Mungu. Sasa inapotokea wanakiuka kiapo chao inakuwa pia wamekiuka nadhiri waliyoweka na Mungu. Na hapo ndipo shida inapoanzia,taifa linaingia kwenye mambo magumu,taifa haliendelei,mikataba ya hovyo kama vile imefanywa na mtoto wa std7 n.k Viongozi wetu ingieni kwenye Toba na mkatende haki kama mlivyoapa kwa Mungu.
 
Sisi wanadamu ni viumbe wa ajabu sana saa nyingine. Tunapokuwa na dili tunamsahau Mungu. Unakuta mtumishi wa Mungu anajua kabisa uzinzi ni dhambi lakini anajisahau na kufanya uzinzi. Unakuta kongozi ana mali nyingi kupitiliza lakini bado anaiba tu. Hapo sina jibu.
 
Mtu mzima na akili zake anakamata kitabu cha dini ya imani yake na kuapa halafu anavunja kiapo chake kwa kumdhihaki Mungu na kudhani maneno aliyoyatamka ni masihara.

Matokeo yake ni mateso, majuto, uchungu na laana.

Kwa mfano..wengi kama si wote. Wanasumbuliwa na mashinikizo ya damu, kisukari, kukosa nguvu za kiume, kansa, watoto kuharibikiwa kwa ulevi na dawa za kulevya pamoja na ushoga.

Nini suluhisho.

ALAMSIKI

kwaiyo??
hizo dini ndizo zilizotumia kuua mamilioni ya waafrica!!
Acha use….e ww
 
Mtu mzima na akili zake anakamata kitabu cha dini ya imani yake na kuapa halafu anavunja kiapo chake kwa kumdhihaki Mungu na kudhani maneno aliyoyatamka ni masihara.

Matokeo yake ni mateso, majuto, uchungu na laana.

Kwa mfano..wengi kama si wote. Wanasumbuliwa na mashinikizo ya damu, kisukari, kukosa nguvu za kiume, kansa, watoto kuharibikiwa kwa ulevi na dawa za kulevya pamoja na ushoga.

Nini suluhisho.

ALAMSIKI
Wabunge na waziri kila siku wana apa na hayo mavitabu na wanakula bata na ma v8 kila siku ..

Huku wakienda kinyume na ahadi walizozitoa na hakuna kitu wanapata .

Kama ni magonjwa ata wasio apa wanayapata.
 
Serikali haina dini, ajabu ni kuwa mnapowaapisha viongozi mnawataka washike vitabu vya dini zao.
Siku nikilazimika kuapa nitaomba nipewe katiba ya Nchi niape nayo. Mambo ya kujifunga vitanzi na Mungu usiyemjua mi siyataki.
 
Mtu mzima na akili zake anakamata kitabu cha dini ya imani yake na kuapa halafu anavunja kiapo chake kwa kumdhihaki Mungu na kudhani maneno aliyoyatamka ni masihara.

Matokeo yake ni mateso, majuto, uchungu na laana.

Kwa mfano..wengi kama si wote. Wanasumbuliwa na mashinikizo ya damu, kisukari, kukosa nguvu za kiume, kansa, watoto kuharibikiwa kwa ulevi na dawa za kulevya pamoja na ushoga.

Nini suluhisho.

ALAMSIKI
Kama ni hivyo yangelaniwa maccm maana huapa kwa bible na Quran na yanavunja viapo kesho na yanapiga bata na kuwarithisha vitengo na fursa nyeti vijana wao na wanaendelea kula mema ya Tanzania
 
Kama ni hivyo yangelaniwa maccm mara huapa kwa bible na Quran na yanavunja viapo kesho na yanapiga bata na kuwarithisha vitengo na fursa nyeti vijana wao
Hujui mitihani na magumu waliyonayo.......
 
Mtu mzima na akili zake anakamata kitabu cha dini ya imani yake na kuapa halafu anavunja kiapo chake kwa kumdhihaki Mungu na kudhani maneno aliyoyatamka ni masihara.

Matokeo yake ni mateso, majuto, uchungu na laana.

Kwa mfano..wengi kama si wote. Wanasumbuliwa na mashinikizo ya damu, kisukari, kukosa nguvu za kiume, kansa, watoto kuharibikiwa kwa ulevi na dawa za kulevya pamoja na ushoga.

Nini suluhisho.

ALAMSIKI
IMG-20240119-WA0034.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa viongozi wa kitaifa kuapa Kwa Mungu kwa kutumia vitabu vitakatifu ni nadhiri kubwa sana wanaweka kwa Mungu. Sasa inapotokea wanakiuka kiapo chao inakuwa pia wamekiuka nadhiri waliyoweka na Mungu. Na hapo ndipo shida inapoanzia,taifa linaingia kwenye mambo magumu,taifa haliendelei,mikataba ya hovyo kama vile imefanywa na mtoto wa std7 n.k Viongozi wetu ingieni kwenye Toba na mkatende haki kama mlivyoapa kwa Mungu.
Amiin
 
Wabunge na waziri kila siku wana apa na hayo mavitabu na wanakula bata na ma v8 kila siku ..

Huku wakienda kinyume na ahadi walizozitoa na hakuna kitu wanapata .

Kama ni magonjwa ata wasio apa wanayapata.
[emoji419][emoji419][emoji375]
 
Mtu mzima na akili zake anakamata kitabu cha dini ya imani yake na kuapa halafu anavunja kiapo chake kwa kumdhihaki Mungu na kudhani maneno aliyoyatamka ni masihara.

Matokeo yake ni mateso, majuto, uchungu na laana.

Kwa mfano..wengi kama si wote. Wanasumbuliwa na mashinikizo ya damu, kisukari, kukosa nguvu za kiume, kansa, watoto kuharibikiwa kwa ulevi na dawa za kulevya pamoja na ushoga.

Nini suluhisho.

ALAMSIKI
He

Na wale wenye diabetes, kidney , na hert problem bila kuwa na viapo vyovyote je??
 
Mtu mzima na akili zake anakamata kitabu cha dini ya imani yake na kuapa halafu anavunja kiapo chake kwa kumdhihaki Mungu na kudhani maneno aliyoyatamka ni masihara.

Matokeo yake ni mateso, majuto, uchungu na laana.

Kwa mfano..wengi kama si wote. Wanasumbuliwa na mashinikizo ya damu, kisukari, kukosa nguvu za kiume, kansa, watoto kuharibikiwa kwa ulevi na dawa za kulevya pamoja na ushoga.

Nini suluhisho.

ALAMSIKI
Lakini Mapene si yapo?
 
Wabunge na waziri kila siku wana apa na hayo mavitabu na wanakula bata na ma v8 kila siku ..

Huku wakienda kinyume na ahadi walizozitoa na hakuna kitu wanapata .

Kama ni magonjwa ata wasio apa wanayapata.
Ndio maana vile vitabu vinaanza kudharaulika.

Ni kama havina nguvu ile tunayoambiwa inavyo.

Devine Power kwenye vile vitabu ni Utapeli tu mi naona.

Maana wanavitumia kuapa ili kuagana na kuahidi Uaminifu. Lakini wanavunja na hakuna kitu kinawapata.
 
Wewe utaona hakuna kitu kinawapata....lakini wako kwenye mateso ya hali ya juu sana.
 
Back
Top Bottom