Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Wanasimba wenzangu kama mnavyokumbuka tulivyofanyiwa figisu na uonevu mkubwa na timu hii mbovu ya Berkane na hata kiongozi wao sababu ana cheo kikubwa huko CAF tukanyimwa kucheza mechi yetu ya fainali kombe la shirikisho katika uwanja wetu wa nyumbani Mkapa, hio haitoshi wakahakikisha wanamhonga refa yule alielaaniwa na hata evidence zilikuepo marefa wakiwa pamoja na viongozi wa Berkane katika vyumba vyao, hio haitoshi wakafanya figisu hata mchezaji wetu akatolewa kwa kadi nyekundu..
Yote tukamuachia Mungu, na kuanzia siku hio tukailaani hii timu, Sasa leo kisu kikali kimepenya kwenye mfupa na kimekata nyama ya moyo, leo laana yetu imetimia rasmi nao wameonja maumivu makali ya kukosa ubingwa..na Bado...shukran za dhati zimuendee mzee wa kutetema fiston kalala mayele siku hizi kasilimu ooh alhamdullilah ...kapeleka kilio kikali huko moroko
Mayele noma sana, nyota Kali sana, 😂😂😂
Mkataba mnono unafata atapiga hela balaa..ila namuona mayele ulaya.
Berkane mbovu hayooooo