....Laazizi ARABELA.....unampango gani Wa siri humu ndani.......???

....Laazizi ARABELA.....unampango gani Wa siri humu ndani.......???

Asante sana kwa kunitumia hii kopi bwana mdogo ila kila siku huwa ninajiuliza wewe ni mtu na wewe au, maana jina lako ni kama la kwetu.Lakini kuhusu haka ka bwana mdogo kengine na limwili lake, kanakotishia watu kutembea toka kariakoo mpaka Kimara kaambie kwamba siku hizi watu tunatembea na magobole ya kizungu mfukoni....

umeacha kutembea NA MIGUU UNATEMBEA NA GOBOLE ZA KIZUNGU....umewekewa miguu ya bandia....nimeanza kazi
 
Back
Top Bottom