Labda anitekenye

Labda anitekenye

Watu wanaoweza kunichekesha ni wachekeshaji wa Genre ya Black Comedy tofauti na hapo sicheki naona anaigiza utoto.
Baadhi ya muvi na series za black comedy ni
  • The Dictator
  • The boys (series)
  • You don't mess with the Zohan
  • Breaking Bad
  • Better Call saul
  • Game of thrones
Dictator lazima ucheke.. Jamaa kwenye kikao na marais wa nchi anasema ntakua na speech naongea untranslated language 😅😅.
 
1712612148738.png
... bhebhe nang'ho!!!
 
1712612930650.png
... jamani mi nampenda `Tina Rogat ❣️
... akianza macho'ku'mchuzi yake ya mchongo ndo NAKUFA KABISA❣️
 
Kwenye stand up comedy kwa sasa sijaona mchekeshaji anayemfikia kipotoshi. Huyu jamaa anajua. Wengine hamna kitu
 
Watu wanaoweza kunichekesha ni wachekeshaji wa Genre ya Black Comedy tofauti na hapo sicheki naona anaigiza utoto.
Baadhi ya muvi na series za black comedy ni
  • The Dictator
  • The boys (series)
  • You don't mess with the Zohan
  • Breaking Bad
  • Better Call saul
  • Game of thrones
Unaposema blqck comedy unamaanisha nini!? Me napenda level ya sacarstic kwenye hiyo BB na BCS
 
Comediqn wengi wa kibongo ni kama wanavichekesho vya watoto wadogo, you can’t relate.. na mada zao … pengine wana niche yao wanayo i target

Stand up comedy.
Kat william
Eddie griffin

Bongo
Joti
Majuto

St comedy
Leonardo.
 
Kuna kijana mmoja mbongo nimeona baadhi ya clip, anafanya ile musical, anachekesha kwa njia ya nyimbo anajitahidi sana, sijajua kama ndiyo style yake au amechomekea tu..
 
Pia kuna kelvin wa home alone na ile movie ya God must be crazy.

Hapa usipocheka kafanye plastic surgery ya bandama.
 
wengi wa bongo si wachekeshaji ni wafurahishaji tu, na hapo pia kuna siku na siku, kuna movie ukimtizama mkojani utatabasamu na kuna movie unajiuliza ndio yule alinifanya nitabasamu jana..🤔
 
Ili ucheke inatakiwa uwe kwenye mkao wa kucheka. Ukisema ukaze hata Mr Bean hatoboi

Ikiwa unapiga stori na rafiki yako mnayeivana,akisema kitu kidogo ni rahisi wewe kucheka hasa ukijua kuwa kusudio lake ni wewe ufurahi. Tofauti na jambo hilo hilo akilisema msiyeivana
 
Ili ucheke inatakiwa uwe kwenye mkao wa kucheka. Ulisema ukaze hata Mr Bean hatoboi

Ikiwa unapiga stori na rafiki yako mnayeivana,akisema kitu kidogo ni mtu ni rahisi kucheka hasa kusudio lake ni wewe ifurahi. Tofauti na jambo hilo hilo akilisema msiyeivana
Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom