MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Wapi Ringo.
Huwa nikimwangalia tu nacheka
Huwa nikimwangalia tu nacheka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dictator lazima ucheke.. Jamaa kwenye kikao na marais wa nchi anasema ntakua na speech naongea untranslated language 😅😅.Watu wanaoweza kunichekesha ni wachekeshaji wa Genre ya Black Comedy tofauti na hapo sicheki naona anaigiza utoto.
Baadhi ya muvi na series za black comedy ni
- The Dictator
- The boys (series)
- You don't mess with the Zohan
- Breaking Bad
- Better Call saul
- Game of thrones
Mr Bean alikuwa anachekesha sana wakati wake ni copy ya Charlie Chaplinhakuna mkuu huyu jamaa anatakuvunja mbavu
Unaposema blqck comedy unamaanisha nini!? Me napenda level ya sacarstic kwenye hiyo BB na BCSWatu wanaoweza kunichekesha ni wachekeshaji wa Genre ya Black Comedy tofauti na hapo sicheki naona anaigiza utoto.
Baadhi ya muvi na series za black comedy ni
- The Dictator
- The boys (series)
- You don't mess with the Zohan
- Breaking Bad
- Better Call saul
- Game of thrones
alafu wanamlaumu puffy 😁Kwahy unataka kutekenywa.? Watu mna mambo sana nyie
Kumbe wameyataka wnyw 😂alafu wanamlaumu puffy 😁
Kweli kabisaIli ucheke inatakiwa uwe kwenye mkao wa kucheka. Ulisema ukaze hata Mr Bean hatoboi
Ikiwa unapiga stori na rafiki yako mnayeivana,akisema kitu kidogo ni mtu ni rahisi kucheka hasa kusudio lake ni wewe ifurahi. Tofauti na jambo hilo hilo akilisema msiyeivana