6WaS9
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 2,562
- 3,028
Hii point!Wachekeshaji wengi wa Tanzania hawajui kuchekesha. Angalau hizi skits zimekuja kuwaokoa. Kwenye skits ni hit-or-miss.
Bongo kwenye sanaa ya uigizaji / uchekeshaji hakuna quality bali quantity, tuna watu wengi wanaojiita wachekeshaji kushinda wachekeshaji wenyewe.
Ukifuatilia majukwaa kama Watu Baki, Cheka Tu: mada zao kwa 70% ni ngono. Uchekeshaji wao lazima wahusishe ngono, wanachowasilisha ni kama kimelenga aina fulani ya hadhara: watu wa hovyo.