Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 5,233
- 12,398
Waziri Katambi ameeleza kwamba NIDA sio taarifa binafsi, Umri sio taarifa binafsi, namba ya simu sio taarifa binafsi
Huyu ni waziri mkubwa ndani ya baraza la mawari: Sina hakika sana na level ya elimu yake : lakini naishauri BAKITA kutoa tafsiri rasmi ya nini kinachoangukia ndani ya neno taarifa binafsi ili waziri huyu mwenye dhamana apate kuelimika.
Otherwise yupo kwenye ombwi la ujuha na cognitive dissonance…… ugonjwa mbaya