Tangu kuanza kwa msimu huu wa 2024/25, kumekuwa na utulivu mkubwa mitandaoni. Zile mbwembwe, vijembe na hata matusi miongoni mwa mashabiki zimepoa sana.
Kumbukumbu zinaonesha kuwa Yanga anapoteleza, mitandaoni kunachangamka sana. Kitendo cha Yanga kuanza msimu kwa kuifunga Simba na Azam (ngao ya jamii) kumefifisha mvwembwe mitandaoni. Pengine leo kutaanza kuchangamka tena