Vipi, Gamondi hajarusha ngumi huko?Tangu kuanza kwa msimu huu wa 2024/25, kumekuwa na utulivu mkubwa mitandaoni. Zile mbwembwe, vijembe na hata matusi miongoni mwa mashabiki zimepoa sana.
Kumbukumbu zinaonesha kuwa Yanga anapoteleza, mitandaoni kunachangamka sana. Kitendo cha Yanga kuanza msimu kwa kuifunga Simba na Azam (ngao ya jamii) kumefifisha mvwembwe mitandaoni. Pengine leo kutaanza kuchangamka tena
Nadhani alikuwa sahihiKwa hiyo umekaa ukaota kua Azam anaifunga yanga
Ngoja tuone labda ndoto Yako itatimia
Noma sana!Nadhani alikuwa sahihi
Vipi huko kibaigwa hamjapata matokeo?Yanga atapoteza mechi mzunguko wa pili huu wa kwanza ana sweep zote tena huenda bila kufungwa
Haya anzisheni huko tuitikie "unaifungaje eeeee!"Tangu kuanza kwa msimu huu wa 2024/25, kumekuwa na utulivu mkubwa mitandaoni. Zile mbwembwe, vijembe na hata matusi miongoni mwa mashabiki zimepoa sana.
Kumbukumbu zinaonesha kuwa Yanga anapoteleza, mitandaoni kunachangamka sana. Kitendo cha Yanga kuanza msimu kwa kuifunga Simba na Azam (ngao ya jamii) kumefifisha mvwembwe mitandaoni. Pengine leo kutaanza kuchangamka tena
KumechangamkaHaya anzisheni huko tuitikie "unaifungaje eeeee!"View attachment 3142215
Ni kweli kumechangamka sana leo.Kumechangamka
ImetimiaKwa hiyo umekaa ukaota kua Azam anaifunga yanga
Ngoja tuone labda ndoto Yako itatimia