Labda mi ndo sielewi, nisaidieni...

Labda mi ndo sielewi, nisaidieni...

Watu wengi hawalijui hili,ila ni very risk kwa mtotn kukaa seat ya mbele!!by the way,kwani seat ya mbele ukikaa ndo unawahi kufika?wanawake wa kibongo wengi hata wakiwa na baba wakwe zao wanang'ang'ania kukaa siti za mbele utadhani wakihama pale ndo gari inakuwa sio yao!!ushamba tu
 
Mkuu suala siyo hilo hapo kwa red, suala ni recognition ambayo binadamu tunataka
 
marekan ukikutwa umemkalisha mtoto siti ya mbele we nyumba,utaipata fresh
 
mfano:
mama ndio anaendesha na amepakia shogake/staff mbele afu anakupitia Mr.kokote tu ulipo,utakaa nyuma Mr?au shogake itabidi apishe Mr?
 
Mkuu suala siyo hilo hapo kwa red, suala ni recognition ambayo binadamu tunataka

recognition gani watu wanataka?mimi hili siliafiki!!watu mpaka wanakosa heshima kisa kukaa mbele!kwani akikaa nyuma hiyo recognition kuwa ndo mke itafutika?
 
mi cielewi labda nimeona mtu amepanda kwa gari na familia yake anetoka job kanpandishwa mbele mfanyakazi mwenzake nyuma ndo kapanda mke wake na mtoto je nisawa?

Ni sawa; kutokana na vigezo vifuatafvyo,

1. Ni heshima kubwa na usalama zaidi kukaa kiti cha nyuma.
2. Kama ni gari ya ofisini ni bora mfanyakazi mwezake nae a feel kuwa ni part ya huo usafiri.
3. Ni vyema Mama akae karibu na mtoto kiti cha nyuma kuliko umuweke na Stranger.
4. Labda anapomchukulia mke wake sio rahisi kwa usalama kuanza kupishana viti.

La msingi ni maelewano na amani katika mapenzi. "Kukaa mbele sio kuwahi kufika"

Umeelewa sasa?
 
Mi nachojua kila familia na lyf styl yao...so wewe utashangaa akati kwao poa tu...Tuache umbea nawe mpaka unakariri watu kwenye gar la watu ni nini?
 
hyo hata me nshakutana nayo! cku 1 nlikwenda kutembelea family ya rafk yangu. sa wkt twatoka out nkamwona rafk angu na mwanae wanaingia ct ya nyuma nkamwambia mama d mbna waingia ct ya nyuma akaniambia kukaa na mtoto ct ya mbele ni risk make kama ikitoke ajali ya ghafla mtoto ndo atatangulia kuchomoka kwenye kioo cha mbele! so hii yaweza kuwa ndo sababu

kwa suala la usalama garini nakubalina nae kabisa, na hasa unapokuwa na mtoto mdogo. Nachukua nafasi hii kwa wazazi kuzingatia suala la usalama garini, utakuta mtu kapakata mtoto na anaendesha nae gari, tena barabar kubwa kabisa. Au mtoto amekaa kiti cha mbele, hajafungwa mkanda, mara asimame mara arukeruke, that's very dangerous.

Na hata kwenye suala la umume na ummke, sioni kama ni issue, mbona inaeleweka tu!
 
recognition gani watu wanataka?mimi hili siliafiki!!watu mpaka wanakosa heshima kisa kukaa mbele!kwani akikaa nyuma hiyo recognition kuwa ndo mke itafutika?

ni mtizamo tu kwamba akikaa nyuma inamaana hadi itatafutwa (recognition) ndo ionekane. lakini akikaa mbele inajionyesha yenyewe bila chenga!
 
Back
Top Bottom