Watu wengi hawalijui hili,ila ni very risk kwa mtotn kukaa seat ya mbele!!by the way,kwani seat ya mbele ukikaa ndo unawahi kufika?wanawake wa kibongo wengi hata wakiwa na baba wakwe zao wanang'ang'ania kukaa siti za mbele utadhani wakihama pale ndo gari inakuwa sio yao!!ushamba tu