Watu wengi hawalijui hili,ila ni very risk kwa mtotn kukaa seat ya mbele!!by the way,kwani seat ya mbele ukikaa ndo unawahi kufika?wanawake wa kibongo wengi hata wakiwa na baba wakwe zao wanang'ang'ania kukaa siti za mbele utadhani wakihama pale ndo gari inakuwa sio yao!!ushamba tu
Mkuu suala siyo hilo hapo kwa red, suala ni recognition ambayo binadamu tunataka
mi cielewi labda nimeona mtu amepanda kwa gari na familia yake anetoka job kanpandishwa mbele mfanyakazi mwenzake nyuma ndo kapanda mke wake na mtoto je nisawa?
hyo hata me nshakutana nayo! cku 1 nlikwenda kutembelea family ya rafk yangu. sa wkt twatoka out nkamwona rafk angu na mwanae wanaingia ct ya nyuma nkamwambia mama d mbna waingia ct ya nyuma akaniambia kukaa na mtoto ct ya mbele ni risk make kama ikitoke ajali ya ghafla mtoto ndo atatangulia kuchomoka kwenye kioo cha mbele! so hii yaweza kuwa ndo sababu
recognition gani watu wanataka?mimi hili siliafiki!!watu mpaka wanakosa heshima kisa kukaa mbele!kwani akikaa nyuma hiyo recognition kuwa ndo mke itafutika?