Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Wengine hapa nchini hatuna majina lakini tuna macho ya rohoni (third eye) .
Tangu nipate akili timamu za kiutu uzima na kujitegemea Mimi sijawahi kuwa mdau wa CCM. Nina kadi ya CCM na CHADEMA ndani.
Ya CHADEMA niliikata mwenyewe 2015 na CCM nimeletewa tu mwaka huu. Kwa ufupi Mimi sina chama, sijawahi kupiga kura na sitarajii kupiga kura hivi karibuni.
Turudi main point. 2015 milango ilikuwa wazi kwa chama cha upinzani chenye nguvu hasa CHADEMA kuchukua nchi.
Vitengo wakachekecha akili wakapata njia ya kupindua meza. Mbowe kwa kujua au kwa kutokujua akaingia King mchezo ukaisha.
Nafasi kama ile sasa haipo, labda kuanzia miaka 40 mbele kuanzia sasa huenda ikatokea tena.
Hata viongozi wa CHADEMA wanajua hilo.
Mlale unono.
Mbowe must go