Label ya WCB imeshuka kiuwezo, baada ya Harmonize kutoka imebaki na wasanii local

Label ya WCB imeshuka kiuwezo, baada ya Harmonize kutoka imebaki na wasanii local

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,043
Reaction score
8,686
Wcb Wameshuka sa kiuwezo kuna kipindi Walikua Wanatoa hit song kwa ushirikiano wa Harmonize na Diamond ilikua inatazamika kua inaenda kua Moja Lebo kubwa barani Africa.

Ila baada ya kutoka Harmonize Jamaa Wamebaki Local sana, Wanatoa Ngoma za Kawaida na Diamond ni kama Vile kaishiwa Idea ya kutunga ngoma kali na Kik,. Ni Wazi kua Harmonize na Rich mavoko walikua wakimsaidia sana kwenye kutunga nyimbo kwa kushare Idea.

Ukijumlisha na Uwezo Mdogo walionao Mameneja wake ndo kabisa hii lebo inaenda kupotea, Mameneja hawana ubunifu Wanategemea Kik na Mabifu ndo Yawabebe.

Rayvany
Mboso
Lavalava, Hawa ni wasanii ambao hawawezi kuibeba brand na kuipeleka kokote hawa ni Local na Kuwaangalia kiufundi zaidi hawa watabaki kua Local.

Rayvan katoa Ngoma 5 kwa kutaka kubahatisha kama anaweza kupatamo hit hata moja Ila hawezi ukweli ni kwamba zile ngoma na za kawaida zimekaa kiunderground.
 
Kwa kusema Mda utaongea inaonekana umekubalia na Mimi kua Lebal ya Wcb imeshuka Kiuwezo na Kiumaarufu.
Nimekubaliana na ww wapi? wewe jipe unabii ila mda utaongea, uzuriJF thread hawafuti,we endelea kucheka na kujitekenya mwenyewe ,siku ikifika HII THREAD yako UTAIKATAA ila sisi tutakusaidia kukukumbusha.
 
Naona unaendelea kukili kua kwa sasa Wcb kwishney
Nimekubaliana na ww wapi? wewe jipe unabii ila mda utaongea, uzuriJF thread hawafuti,we endelea kucheka na kujitekenya mwenyewe ,siku ikifika HII THREAD yako UTAIKATAA ila sisi tutakusaidia kukukumbusha.
 
Mkuu Jikite kwenye mada Naongelea label ya Wcb au Diamond hawakilishi Wcb? Label iko hoi Hata uyo Diamond kwa sasa anatembelea Jina hana jipya,.

Huko kwenye matamasha ya kualikwa ni kawaida, maana hata kule kigoma alikusanya rundo la wasanii mwisho wa siku akajipa sifa mwenyewe
Diamond kaishiwa [emoji2]
Sema jamaa anakera sana ,kaangalie Guinea huko alichofanya...nyie uzeni twist tu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Jikite kwenye mada Naongelea label ya Wcb au Diamond hawakilishi Wcb? Label iko hoi Hata uyo Diamond kwa sasa anatembelea Jina hana jipya,.

Huko kwenye matamasha ya kualikwa ni kawaida, maana hata kule kigoma alikusanya rundo la wasanii mwisho wa siku akajipa sifa mwenyewe
JINA hata wewe unalo mbona hualikwi wewe.
 
Team kiba wanateseka kweli kweli badala umpambanie kiba baada ya kushuka kimziki unapambana na lebel kubwa ya WCB ambao wanashow nyingi za nje kubwa Rayvanny mwezi wa 4 ana show India, Mboso ana show Morocco mwezi huo huo, lavalava ana show Rwanda. Huyo harmonize tokea aondoke WCB show za nje zimekauka sasa sijui amepanda au ameshuka jibu unalo hapo sijamzungumzia babalao mwenyewe mondi maana nikimzungumzia nitakukera zaidi.
 
Back
Top Bottom