Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa mada ni team kiba nae anatetea ugali wake.
aloooo, watatoa mapovu ya hatari hapa.
Wewe umealikwa wapi ?Mkuu Jikite kwenye mada Naongelea label ya Wcb au Diamond hawakilishi Wcb? Label iko hoi Hata uyo Diamond kwa sasa anatembelea Jina hana jipya,.
Huko kwenye matamasha ya kualikwa ni kawaida, maana hata kule kigoma alikusanya rundo la wasanii mwisho wa siku akajipa sifa mwenyewe
Na huyo kondeboy tokea atoke Wasafi amefika wapi?Ni kweli nasapoti hoja
Ni kweli umoja ni nguvu ila mtoto akikua mwache aende , dunia itatoa majibu kama ulikuwa uamuzi wake au kuna watu walimlazimisha tu , wacha tuweke sawa kumbukumbuTukiachana na ushabiki ni kweli mpaka sasa sijaona faida waliyopata WCB alipoondoka Harmonize na wala sijaona mafanikio aliyopata alipoondoka WCB. Wote walipata mafanikio walipokuwa pamoja tofauti na sasa. Sioni mwanga wala dalili njema kwa wote. 1+1 > 2
Mbagala , Bukoba sijui na Dodoma hapana na MtwaraNa huyo kondeboy tokea atoke Wasafi amefika wapi?