Label ya WCB imeshuka kiuwezo, baada ya Harmonize kutoka imebaki na wasanii local

Label ya WCB imeshuka kiuwezo, baada ya Harmonize kutoka imebaki na wasanii local

Harmonize amewapoteza sanaa ....wanahangaika kupata atakae chukuwa nafasi yake bila mafanikio inabidi tu boss wao domo aichukuw nafasi ya harmonize [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Diamomd hakuna wakuichua na kulinganishwa naye ,na pia harmonize haingii hata kidogo kwa rayvanny shusha data na mimi ni shushe data naanza na BET awards ok

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwanini mnachanganyikiwa sana na views? Ubora wa wimbo unapimwa na views?
Kilichotokea ni kwamba bajeti ya kuboost imepungua pengine haipo kabisa!
Nimejaribu kumfuatilia Harmonize pia katika video tatu alizotoa hivi karibuni kupitia You tube hakuna ngoma iliyofika views milioni moja mpaka sasa tofauti na zamani zilikua zinagonga fasta!

Hata ukuangalia hujanikomoa ina siku tatu ina views 500,000+ na Rayvanny Teamo imetoka Jana nayo ina 500,000+ wamepishana kidogo sana!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwanini mnachanganyikiwa sana na views? Ubora wa wimbo unapimwa na views?
Kilichotokea ni kwamba bajeti ya kuboost imepungua pengine haipo kabisa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijazungumzia ubora wa nyimbo nilichomaanisha ni fan base yake imepungua

Kuhusu suala la kununua views ni vizuri ukafuta taarifa sahihi ya ukweli wa hicho unachokiongea,tafuta hata interview ya Mx Carter You tube akihojiwa na SNS upate taarifa sahihi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mi nimequote unapopinga habari za boosting.. Wakati wengine ndo kazi tunayofanya na tunalipwa na kuishi kwa hiyo kazi.
Kuboost haimaanishi umepata viewers fake, hizo ni campaign/promotion ambazo hazina tatizo lolote.
Sijazungumzia ubora wa nyimbo nilichomaanisha ni fan base yake imepungua

Kuhusu suala la kununua views ni vizuri ukafuta taarifa sahihi ya ukweli wa hicho unachokiongea,tafuta hata interview ya Mx Carter You tube akihojiwa na SNS upate taarifa sahihi!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Harmonize kutoka WCB kumeleta athari pande zote mbili. Ukimtoa Diamond, Harmonize ndiyo msanii pekee Aliejitahidi kuitangaza kwa nguvu kubwa ya kuitangaza WCB wakati akiwa kundini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekubaliana na ww wapi? wewe jipe unabii ila mda utaongea, uzuriJF thread hawafuti,we endelea kucheka na kujitekenya mwenyewe ,siku ikifika HII THREAD yako UTAIKATAA ila sisi tutakusaidia kukukumbusha.
Uongee Mara ngapi muda n kweli WCB alikuwa Diamond na Harmonize na harmo kutoka imedisturb pale huo ndo ukweli sasa kazi ni kwao kama wataweza kumtengeneza mwingine Wa kariba ya Harmonize na kama watafeli bas hiki kinachoonekana sasa KITAJIDHIHIRISHA kwa UKUBWA wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja Nimstue Rayvan kama vipi turudimo mbeya tukalimemo mahindi
Na nyumba alokuwa anakaa kahama now inapangishwa kumbe alipanga salasala, nyumba 1.8 per month daah wasanii wetu kujiongeza ni shida sana...why usijenge yako ya kawaida kalii kama ya ney Wa mitego kuliko kuchukua mghorofa Wa bei hiyooooooo ukamnufaishe mwenye nyumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongee Mara ngapi muda n kweli WCB alikuwa Diamond na Harmonize na harmo kutoka imedisturb pale huo ndo ukweli sasa kazi ni kwao kama wataweza kumtengeneza mwingine Wa kariba ya Harmonize na kama watafeli bas hiki kinachoonekana sasa KITAJIDHIHIRISHA kwa UKUBWA wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
MUDA utaongea tu.Ila naona ushahamisha magoli kwa Harmonize,leo Harmonize mzuri au leo Harmonize hafanani na Diamond(UNAFIKI).

Umeamua kumwacha mzee ASIYEPENDA SHOW OFF sasa hivi upo kwa Harmonize.

😂😂😂😂
 
Hapana sio sahihi. Harmonize ametoa hits zipi za kufanya WCB ionekane imefifia?. WCB wanaendelea na utaratibu wao vizuri tu. Harmonize ndio kafanya maamuzi ya hasira. Ameamua kujisimamia lakini ameenda kwa mtu ambaye sio tu alishindwa kujisimamia kwenye bishara zake ni mtu ambaye hana na hajui biashara ya muziki ndio anaianza kwa Harmonize. Jembe kamuingiza chaka dogo. Harmonize angejipa muda kidogo wa kukusanya rasilimali zake kujiwekeza kisha angetoka na moja kwa moja kusimamisha label imara zaidi. Alishapoteza uaminifu pale WCB na wenzake walishajua kuwa huyu anatusaliti wakajiandaa mapema na kuondoka kwake.
 
Team kiba wanateseka kweli kweli badala umpambanie kiba baada ya kushuka kimziki unapambana na lebel kubwa ya WCB ambao wanashow nyingi za nje kubwa Rayvanny mwezi wa 4 ana show India, Mboso ana show Morocco mwezi huo huo, lavalava ana show Rwanda. Huyo harmonize tokea aondoke WCB show za nje zimekauka sasa sijui amepanda au ameshuka jibu unalo hapo sijamzungumzia babalao mwenyewe mondi maana nikimzungumzia nitakukera zaidi.
Unamzungumzia Kiba MKURUGENZI WA VIPAJI ROCK STAR na ambaye yupo SIGNED SONY MUSIC?. Mkurugenzi Wa KINGS MUSIC RECORD LABEL?..Msanii pekee Wa KUIMBA ambaye anatoa ngoma moja kwa mwaka WCB wanatoa 10 na bado mnamuwaza hamumuwaz Jux wala Navykenzo?...au KIBA YUPI unamzungumzia?..Huyu huyu alomfanya Diamond ahame madale baada ya kuvuja kwa MGHOROFA WAKE TABATA?.. Au Kiba yupi unaemsema wewe kaka?..yule ambaye Diamond anamlilia kwenye show za Wasafi Festival afu jamaa anamgomea au Kiba gani?..Kiba huyu alochukua MTV mbele ya WIZKID au yupi aliyeshuka kimuziki?..umenifanya nijiulize maswali mengi sana ni KIBA YUPI?

Hii comment yako watu wakiona watakucheka sana.Ukitaka kichekesho Kama hiki tuma kwenda 25563
 
Tukiachana na ushabiki ni kweli mpaka sasa sijaona faida waliyopata WCB alipoondoka Harmonize na wala sijaona mafanikio aliyopata alipoondoka WCB. Wote walipata mafanikio walipokuwa pamoja tofauti na sasa. Sioni mwanga wala dalili njema kwa wote. 1+1 > 2
Dogo kala dili na Sayona na sa hivi akipiga show mshiko wote wake,ukiachana na hiyo anasikika Media nyingi sana tofauti na upande Ule alokuwa mwanzo..kazi IPO kule sasa kuziba Pengo la MMAKONDE...harmo hadi sasa kafanikiwa zaidi kwa upande wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom