Labour Care Guide (LCG) ina mapungufu , sijui kwa nini mpaka leo hata WHO wamekalia kimya

Labour Care Guide (LCG) ina mapungufu , sijui kwa nini mpaka leo hata WHO wamekalia kimya

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Wataalamu wa afya wamehama kutoka kwenye Partography na kuhamia kwenye Labour Care Guide kama maboresho ya ku monitor Labour process mpaka pale mama anapojifungua ili tu kuhakikisha mama na mtoto wote wanakuwa salama .

Lakini cha kusikitisha ni kwamba hii LCG binafsi nimeshaona mapungufu matano japo who hawajasema lolote mpaka sasa.

Ni jukumu sasa la jopo la madaktari bingwa wa akina mama (Gynaecologists) kuweza kugundua hilo ili kuichallenge LCG ifanyiwe marekebisho ikiwezekana iletwe kitu kingine kipya.

Na kuna baadhi ya vitu mule inabidi viboreshwe na vingine viondolewe kabisa.
 
mapungufu matano ni yapi, ungeyafafanua
 
Back
Top Bottom