Lacazate 99% to Arsenal

Lacazate 99% to Arsenal

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
David ornstein wengi nadhani mnajua huwa hatoi taarifa ya uongo mara nyingi habari zake zinakuwa za kweli kwenye page yake amepost kuwa arsenal wanakaribia kumnasa lacazzete kila kitu wameshakubaliana yan klabu na mchezaj bado medical na kusaini tu.mm nimeshafunga mjadala wa lacazzete ni mali yetu huyu tayari namsubiri Thomas Lemar, niwakumbushe ornstein ndie aliyetoa habari za ozil, sanchez, debuchy, xhaka na zote zikawa kweli
1d3830fcdefba5760a21bcbc9626e76d.jpg
 
1498938012220.jpg
naona mashabiki wa Arsenal wanatest Mitambo baada ya kusikia lacazerte ndani ya nyumba
 
Yote kwa yote aseno tutabak
Kuwa watafta pesa na co makombe
 
David ornstein wengi nadhani mnajua huwa hatoi taarifa ya uongo mara nyingi habari zake zinakuwa za kweli kwenye page yake amepost kuwa arsenal wanakaribia kumnasa lacazzete kila kitu wameshakubaliana yan klabu na mchezaj bado medical na kusaini tu.mm nimeshafunga mjadala wa lacazzete ni mali yetu huyu tayari namsubiri Thomas Lemar, niwakumbushe ornstein ndie aliyetoa habari za ozil, sanchez, debuchy, xhaka na zote zikawa kweli
1d3830fcdefba5760a21bcbc9626e76d.jpg
Huyu kijana anakuja kuua kipaji chake tu , hii timu ina gundu baya sana .
 
Back
Top Bottom