Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
David ornstein wengi nadhani mnajua huwa hatoi taarifa ya uongo mara nyingi habari zake zinakuwa za kweli kwenye page yake amepost kuwa arsenal wanakaribia kumnasa lacazzete kila kitu wameshakubaliana yan klabu na mchezaj bado medical na kusaini tu.mm nimeshafunga mjadala wa lacazzete ni mali yetu huyu tayari namsubiri Thomas Lemar, niwakumbushe ornstein ndie aliyetoa habari za ozil, sanchez, debuchy, xhaka na zote zikawa kweli