A
Anonymous
Guest
Mimi ni tourist from Kenya. I recently visited Dar es Salaam. Na nilivyokuwa Dar nilipanda ferry kuelekea Kigamboni.. and back.. On my way back to the other side a certain askari hapo tu ferry akaniita ati nimwonyeshe simu yangu my gallery eti nimepiga picha ilhali sijapiga picha kabisa.
Alivyoona hakuna picha yoyote Huyo askari akaanza kuja juu eti ameniita akaanza kusema nina dharau, akaendelea kupitia gallery yangu akaona picha nilizochukua nikiwa ndani ya ferry akasema nafaa kulipa fine ya 50,000Tshs kila picha. Mimi nilipiga tu juu ni first time experience Sasa mimi kama mgeni aliexpect nijueje hizo sheria zao.
Kwa sababu kwenye hiyo SeaTaxi niliyopanda Hakuna proper signage Kabisa ya No photography. How are visitors supposed to know hizi rules Zenu kama hamweki proper signage za no photography.. Halafu huyo askari hakuonyesha level of professionalism.
Hili jambo lisipotatuliwa Ni heri niambie watu Dar es Salaam si sehemu nzuri ya kutalii. Huyo officer ni kama nazi mbovu harabu ya nzima.. It means wengine wako hivyo
Very iconsiderate people ‼️‼️Is this how Tanzanians treat visitors? The fact that nilimwambia mimi ni mgeni bado akaja Juu?