KERO Lack of professionalism among the Ferry Officers

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi ni tourist from Kenya. I recently visited Dar es Salaam. Na nilivyokuwa Dar nilipanda ferry kuelekea Kigamboni.. and back.. On my way back to the other side a certain askari hapo tu ferry akaniita ati nimwonyeshe simu yangu my gallery eti nimepiga picha ilhali sijapiga picha kabisa.

Alivyoona hakuna picha yoyote Huyo askari akaanza kuja juu eti ameniita akaanza kusema nina dharau, akaendelea kupitia gallery yangu akaona picha nilizochukua nikiwa ndani ya ferry akasema nafaa kulipa fine ya 50,000Tshs kila picha. Mimi nilipiga tu juu ni first time experience Sasa mimi kama mgeni aliexpect nijueje hizo sheria zao.

Kwa sababu kwenye hiyo SeaTaxi niliyopanda Hakuna proper signage Kabisa ya No photography. How are visitors supposed to know hizi rules Zenu kama hamweki proper signage za no photography.. Halafu huyo askari hakuonyesha level of professionalism.

Hili jambo lisipotatuliwa Ni heri niambie watu Dar es Salaam si sehemu nzuri ya kutalii. Huyo officer ni kama nazi mbovu harabu ya nzima.. It means wengine wako hivyo

Very iconsiderate people ‼️‼️Is this how Tanzanians treat visitors? The fact that nilimwambia mimi ni mgeni bado akaja Juu?
 
Pole sana. Huyo hakuwa muungwana hata kidogo,
 
Mwambie officer anywe Pepsi baridiii nakuja kulipa...nyie wakenya mnapendaga sana kutudharau tukija huko kwenu eti hatujui kinge🥲
 
Mimi ni tourist from Kenya. I recently visited Dar es Salaam. Na nilivyokuwa Dar nilipanda ferry kuelekea Kigamboni.. and back.. On my way back to the other side a certain askari hapo tu ferry akaniita ati nimwonyeshe simu yangu my gallery eti nimepiga picha ilhali sijapiga picha kabisa.

Alivyoona hakuna picha yoyote Huyo askari akaanza kuja juu eti ameniita akaanza kusema nina dharau, akaendelea kupitia gallery yangu akaona picha nilizochukua nikiwa ndani ya ferry akasema nafaa kulipa fine ya 50,000Tshs kila picha. Mimi nilipiga tu juu ni first time experience Sasa mimi kama mgeni aliexpect nijueje hizo sheria zao.

Kwa sababu kwenye hiyo SeaTaxi niliyopanda Hakuna proper signage Kabisa ya No photography. How are visitors supposed to know hizi rules Zenu kama hamweki proper signage za no photography.. Halafu huyo askari hakuonyesha level of professionalism.

Hili jambo lisipotatuliwa Ni heri niambie watu Dar es Salaam si sehemu nzuri ya kutalii. Huyo officer ni kama nazi mbovu harabu ya nzima.. It means wengine wako hivyo

Very iconsiderate people ‼️‼️Is this how Tanzanians treat visitors? The fact that nilimwambia mimi ni mgeni bado akaja Juu?
Pole kwa hilo. Tusitiri huko nje, tutafikisha ujumbe waweke signage
 
Nadhani ni ushamba wetu, kwenye ferry kwani ni iIkulu au chumba cha Daktari mpka mkataze picha.

Mbona ndani ya Air Tanzania au Airport hakuna ujinga huo wa kumzuia watu kupiga picha? Pia nimeona SGR watu wanajiachia tu, tena ni vitu vyenye thamani kubwa. Kama maji mbona boat za Azam hawana hizo mambo?? Kuna kitu watakuwa wanaficha wanajua raia wanaweza kamata ushahidi.

Gaidi akitaka picha Hana haja ya kupiga Kwa simu , atakuja na miwani, kofia, koti, saa au mkanda wenye camera nakukusanya taharifa zake anazotaka bila mgambo wetu kujua.
 
Mimi kunasiku nilipiga picha akanifata askari akawa ananifokea Kwa nini unapiga picha ?unataka kupindua Nchi?Nikamwambia hivi unajitambua kweli?Dar es salaam nzima ukiingia google unaona yote Sasa hii kuzuia ni usenge tu.Nimwambia Hadi akapoa na Nikamwambia hao viongozi wenu wanaowapa amri hizo ni wajinga kabisa.
 
Mimi ni tourist from Kenya. I recently visited Dar es Salaam. Na nilivyokuwa Dar nilipanda ferry kuelekea Kigamboni.. and back.. On my way back to the other side a certain askari hapo tu ferry akaniita ati nimwonyeshe simu yangu my gallery eti nimepiga picha ilhali sijapiga picha kabisa.

Alivyoona hakuna picha yoyote Huyo askari akaanza kuja juu eti ameniita akaanza kusema nina dharau, akaendelea kupitia gallery yangu akaona picha nilizochukua nikiwa ndani ya ferry akasema nafaa kulipa fine ya 50,000Tshs kila picha. Mimi nilipiga tu juu ni first time experience Sasa mimi kama mgeni aliexpect nijueje hizo sheria zao.

Kwa sababu kwenye hiyo SeaTaxi niliyopanda Hakuna proper signage Kabisa ya No photography. How are visitors supposed to know hizi rules Zenu kama hamweki proper signage za no photography.. Halafu huyo askari hakuonyesha level of professionalism.

Hili jambo lisipotatuliwa Ni heri niambie watu Dar es Salaam si sehemu nzuri ya kutalii. Huyo officer ni kama nazi mbovu harabu ya nzima.. It means wengine wako hivyo

Very iconsiderate people ‼️‼️Is this how Tanzanians treat visitors? The fact that nilimwambia mimi ni mgeni bado akaja Juu?
Sign ziko mwanzo kabisa wakati unaenda kata kadi, kuna bangos no photos!!
 
Back
Top Bottom