dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Ooh kumbe shafi amezinguaNimesikiliza interview ya mawakala wa mchezaji hapo Wasafi huku presenter wa kipindi ni Kitenge.
Kitenge na Shaffih naona hawana mawasiliano mazuri.
Ila pia Shaffih Dauda hakufanya vizuri kuingilia kati dili la Ladrack Chasambi
Hajazinguwa shafii nadhani kitenge au somebody pale wasafi au simba ana maslahi na chasambi ndo maana wamelivalia njuga hili kwasababu shafii alichokiongea ni masuala ya kawaida kibiashara hasa kwenye uwakala wa wachezajiOoh kumbe shafi amezingua
Unashindwa kuelewa wanaompinga Shaffih sio Wasafi wala KitengeHajazinguwa shafii nadhani kitenge au somebody pale wasafi au simba ana maslahi na chasambi ndo maana wamelivalia njuga hili kwasababu shafii alichokiongea ni masuala ya kawaida kibiashara hasa kwenye uwakala wa wachezaji
Saa zingine kumbe unakuwa na akili!Unashindwa kuelewa wanaompinga Shaffih sio Wasafi wala Kitenge
Ni mawakala wa mchezaji na mchezaji mwenyewe.
Shaffih Dauda alikuwa anafosi kupata commission kwa kutaka Chasambi asajiliwe na timu kupitia foundation yake.
Shaffih Dauda alikuja na dili feki na akasimama kama middle man lakini management ya mchezaji ilikuwa smart kugundua ulafi wa jamaa.
Shaffih Dauda alimfata mchezaji na kumu approach kuwa kuna offa kutoka Ulaya ambako ni Israel.
Dogo akafikisha huo ujumbe wa management yake na management yake ikafanya mawasiliano na Shaffih Dauda kuwa wapo tayari ila tupe hiyo offer tujadili maslahi atayopata mchezaji.
Lakini Shaffih Dauda hakuweza ku prove hiyo offer kuwa ni real. Walipoona jamaa alikuwa ana test upepo kwa madai feki wakampiga chini waka stick kwenye dili ambalo limeletwa na Simba.
Sasa yeye alipoona wamemla kichwa kwenye mchongo wake wa Israel akaja kwenye media akiwa emotionally eti yuko disappointed kwa kitendo cha dogo kusajili Simba na kuacha kwenda Ulaya.
Alipokuja kuharibu ni kutaja mkataba alionunuliwa Simba kutoka Mtibwa ambapo kwa mujibu wa management ya mchezaji Shaffih Dauda ametoa maelezo ya uongo.
Na moja ya hoja ambayo hata mimi nimeizingatia kutoka upande wa management ya mchezaji ni kukanusha taarifa za uongo ambazo zingeachwa ziwe spread zingewesa kuleta madhara.
Kuna kasumba ya kusikia boss katoa milioni 200 ya usajili halafu uongozi wa Club unamleta mchezaji aliyesajiliwa kwa milioni 100 halafu kwenye ripoti wanaandika milioni 200
Kwa hiyo Shaffih Dauda kwa kitendo chake cha kudanganya kutaja thamani ya mkataba kinaweza kuleta taswira tofauti, boss aliyetoa hela ya usajili anaweza kudhania kuwa amepigwa kwasababu kiasi kikichotajwa na Shaffih Dauda hakifanani na kiasi alichoandikiwa kwenye ripoti.
Anajiita Digala yaani bongo kila mtu anataka kunufaikia kwa mwenzakeNimesikiliza interview ya mawakala wa mchezaji hapo Wasafi huku presenter wa kipindi ni Kitenge.
Kitenge na Shaffih naona hawana mawasiliano mazuri.
Ila pia Shaffih Dauda hakufanya vizuri kuingilia kati dili la Ladrack Chasambi
Mbona haueleweki unachokisimamia?Mchezaji kama chasambi anapata vipi offer kutoka ulaya yenye mkataba!! anachofanya Shafii ni kumuunganisha mchezaji kwa wadau wengine apate nafasi ya majaribio.
Chasambi alikua na nafasi ya ku saini Simba na kuomba uongozi kujaribu bahati yake ulaya.
Angefanikiwa Simba ingefaidika, Shafii, angefaidika na Menegment yake inge faidika.
Chasambi Hana profile yoyote ya kumfanya kupata offer ya kimkataba, Kuna Lundo la wachezji wa aina yake wanao jaribu kutafuta nafasi ya kujaribiwa uko Ulaya Tena nauli na gharama za safari wanajitegemea.
Tusione wenzetu hasa Afrika Magharibi Wana wachezaji wengi Ulaya Moja ya Sababu ni kuweka mazingira rahisi kwa vijana kutoka na kujaribiwa.
Chasambi kwa Sasa Hana chochote Cha kufanya klabu kutoka ulaya ilipe ata Dola 50,000/= kwakua hakuna anaye jua ana Nini mguuni.
Kumlaumu Shafii ni mambo ya kipuuzi.
Alitaka kufanya upigaji watu wakamstukia.Anajiita Digala yaani bongo kila mtu anataka kunufaikia kwa mwenzake
Alicho maanisha ni offer ya kujaribiwa, maana kwenye safari yake hagharamii chochote. Hakuna anaye mjua Chasambi na akifika uko atakuta Kuna vijana 5/10 waliofika kujaribiwa Tena kutoka sehemu mbalimbali duniani.Mbona haueleweki unachokisimamia?
Kama Chasambi hana chochote cha kufanya Club za Ulaya zimtafute, huoni hapo unakuwa unakubali kuwa Shaffih Dauda kuja madai kuwa kuna Club kutoka Ulaya inamtaka Chasambi ilikuwa ni deal fake?
Sasa wewe umemaliza kwa kuonesha mchezaji hana chochote kui impress Club za Ulaya, lakini Shaffih Dauda kauli yake ya kusema Chasambi amekataa offer ya Ulaya umeiona haina tatizo bali tatizo lipo kwa wanaompinga?
Shaffih ni wakala mawakala ndivyo walivyo katika worldly football hayo mahojiano ni ujinga tu ,price tag za kuuzwa wachezaji hazitajwi na team inayo nunua inabaki kazi ya media na mawakala kupata habari hivyo basi ni ujinga tu wa management team kujitokeza mbele na kukanusha au kukubali maswala ya mchezaji.Umeona wapi wajifunze hata kwa JOBUnashindwa kuelewa wanaompinga Shaffih sio Wasafi wala Kitenge
Ni mawakala wa mchezaji na mchezaji mwenyewe.
Shaffih Dauda alikuwa anafosi kupata commission kwa kutaka Chasambi asajiliwe na timu kupitia foundation yake.
Shaffih Dauda alikuja na dili feki na akasimama kama middle man lakini management ya mchezaji ilikuwa smart kugundua ulafi wa jamaa.
Shaffih Dauda alimfata mchezaji na kumu approach kuwa kuna offa kutoka Ulaya ambako ni Israel.
Dogo akafikisha huo ujumbe wa management yake na management yake ikafanya mawasiliano na Shaffih Dauda kuwa wapo tayari ila tupe hiyo offer tujadili maslahi atayopata mchezaji.
Lakini Shaffih Dauda hakuweza ku prove hiyo offer kuwa ni real. Walipoona jamaa alikuwa ana test upepo kwa madai feki wakampiga chini waka stick kwenye dili ambalo limeletwa na Simba.
Sasa yeye alipoona wamemla kichwa kwenye mchongo wake wa Israel akaja kwenye media akiwa emotionally eti yuko disappointed kwa kitendo cha dogo kusajili Simba na kuacha kwenda Ulaya.
Alipokuja kuharibu ni kutaja mkataba alionunuliwa Simba kutoka Mtibwa ambapo kwa mujibu wa management ya mchezaji Shaffih Dauda ametoa maelezo ya uongo.
Na moja ya hoja ambayo hata mimi nimeizingatia kutoka upande wa management ya mchezaji ni kukanusha taarifa za uongo ambazo zingeachwa ziwe spread zingewesa kuleta madhara.
Kuna kasumba ya kusikia boss katoa milioni 200 ya usajili halafu uongozi wa Club unamleta mchezaji aliyesajiliwa kwa milioni 100 halafu kwenye ripoti wanaandika milioni 200
Kwa hiyo Shaffih Dauda kwa kitendo chake cha kudanganya kutaja thamani ya mkataba kinaweza kuleta taswira tofauti, boss aliyetoa hela ya usajili anaweza kudhania kuwa amepigwa kwasababu kiasi kikichotajwa na Shaffih Dauda hakifanani na kiasi alichoandikiwa kwenye ripoti.
Shaffih ni wakala mawakala ndivyo walivyo katika worldly football hayo mahojiano ni ujinga tu ,price tag za kuuzwa wachezaji hazitajwi na team inayo nunua inabaki kazi ya media na mawakala kupata habari hivyo basi ni ujinga tu wa management team kujitokeza mbele na kukanusha au kukubali maswala ya mchezaji.Umeona wapi wajifunze hata kwa JOBUnashindwa kuelewa wanaompinga Shaffih sio Wasafi wala Kitenge
Ni mawakala wa mchezaji na mchezaji mwenyewe.
Shaffih Dauda alikuwa anafosi kupata commission kwa kutaka Chasambi asajiliwe na timu kupitia foundation yake.
Shaffih Dauda alikuja na dili feki na akasimama kama middle man lakini management ya mchezaji ilikuwa smart kugundua ulafi wa jamaa.
Shaffih Dauda alimfata mchezaji na kumu approach kuwa kuna offa kutoka Ulaya ambako ni Israel.
Dogo akafikisha huo ujumbe wa management yake na management yake ikafanya mawasiliano na Shaffih Dauda kuwa wapo tayari ila tupe hiyo offer tujadili maslahi atayopata mchezaji.
Lakini Shaffih Dauda hakuweza ku prove hiyo offer kuwa ni real. Walipoona jamaa alikuwa ana test upepo kwa madai feki wakampiga chini waka stick kwenye dili ambalo limeletwa na Simba.
Sasa yeye alipoona wamemla kichwa kwenye mchongo wake wa Israel akaja kwenye media akiwa emotionally eti yuko disappointed kwa kitendo cha dogo kusajili Simba na kuacha kwenda Ulaya.
Alipokuja kuharibu ni kutaja mkataba alionunuliwa Simba kutoka Mtibwa ambapo kwa mujibu wa management ya mchezaji Shaffih Dauda ametoa maelezo ya uongo.
Na moja ya hoja ambayo hata mimi nimeizingatia kutoka upande wa management ya mchezaji ni kukanusha taarifa za uongo ambazo zingeachwa ziwe spread zingewesa kuleta madhara.
Kuna kasumba ya kusikia boss katoa milioni 200 ya usajili halafu uongozi wa Club unamleta mchezaji aliyesajiliwa kwa milioni 100 halafu kwenye ripoti wanaandika milioni 200
Kwa hiyo Shaffih Dauda kwa kitendo chake cha kudanganya kutaja thamani ya mkataba kinaweza kuleta taswira tofauti, boss aliyetoa hela ya usajili anaweza kudhania kuwa amepigwa kwasababu kiasi kikichotajwa na Shaffih Dauda hakifanani na kiasi alichoandikiwa kwenye ripoti.
Hiyo ya kujaribiwa umem quote Shaffih Dauda mwenyewe au ni perspective yako?Alicho maanisha ni offer ya kujaribiwa, maana kwenye safari yake hagharamii chochote. Hakuna anaye mjua Chasambi na akifika uko atakuta Kuna vijana 5/10 waliofika kujaribiwa Tena kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Kilicho takiwa kwa Chasambi ni kwenda kujaribu maana apo Simba nafasi yake ipo tu.
Scars nimeuelewa vzr mnoUnashindwa kuelewa wanaompinga Shaffih sio Wasafi wala Kitenge
Ni mawakala wa mchezaji na mchezaji mwenyewe.
Shaffih Dauda alikuwa anafosi kupata commission kwa kutaka Chasambi asajiliwe na timu kupitia foundation yake.
Shaffih Dauda alikuja na dili feki na akasimama kama middle man lakini management ya mchezaji ilikuwa smart kugundua ulafi wa jamaa.
Shaffih Dauda alimfata mchezaji na kumu approach kuwa kuna offa kutoka Ulaya ambako ni Israel.
Dogo akafikisha huo ujumbe wa management yake na management yake ikafanya mawasiliano na Shaffih Dauda kuwa wapo tayari ila tupe hiyo offer tujadili maslahi atayopata mchezaji.
Lakini Shaffih Dauda hakuweza ku prove hiyo offer kuwa ni real. Walipoona jamaa alikuwa ana test upepo kwa madai feki wakampiga chini waka stick kwenye dili ambalo limeletwa na Simba.
Sasa yeye alipoona wamemla kichwa kwenye mchongo wake wa Israel akaja kwenye media akiwa emotionally eti yuko disappointed kwa kitendo cha dogo kusajili Simba na kuacha kwenda Ulaya.
Alipokuja kuharibu ni kutaja mkataba alionunuliwa Simba kutoka Mtibwa ambapo kwa mujibu wa management ya mchezaji Shaffih Dauda ametoa maelezo ya uongo.
Na moja ya hoja ambayo hata mimi nimeizingatia kutoka upande wa management ya mchezaji ni kukanusha taarifa za uongo ambazo zingeachwa ziwe spread zingewesa kuleta madhara.
Kuna kasumba ya kusikia boss katoa milioni 200 ya usajili halafu uongozi wa Club unamleta mchezaji aliyesajiliwa kwa milioni 100 halafu kwenye ripoti wanaandika milioni 200
Kwa hiyo Shaffih Dauda kwa kitendo chake cha kudanganya kutaja thamani ya mkataba kinaweza kuleta taswira tofauti, boss aliyetoa hela ya usajili anaweza kudhania kuwa amepigwa kwasababu kiasi kikichotajwa na Shaffih Dauda hakifanani na kiasi alichoandikiwa kwenye ripoti.
Sanaa tu sijui anafichaga wapiSaa zingine kumbe unakuwa na akili!
Mmh shafi Ni tapeli na mjuajiMchezaji kama chasambi anapata vipi offer kutoka ulaya yenye mkataba!! anachofanya Shafii ni kumuunganisha mchezaji kwa wadau wengine apate nafasi ya majaribio.
Chasambi alikua na nafasi ya ku saini Simba na kuomba uongozi kujaribu bahati yake ulaya.
Angefanikiwa Simba ingefaidika, Shafii, angefaidika na Menegment yake inge faidika.
Chasambi Hana profile yoyote ya kumfanya kupata offer ya kimkataba, Kuna Lundo la wachezji wa aina yake wanao jaribu kutafuta nafasi ya kujaribiwa uko Ulaya Tena nauli na gharama za safari wanajitegemea.
Tusione wenzetu hasa Afrika Magharibi Wana wachezaji wengi Ulaya Moja ya Sababu ni kuweka mazingira rahisi kwa vijana kutoka na kujaribiwa.
Chasambi kwa Sasa Hana chochote Cha kufanya klabu kutoka ulaya ilipe ata Dola 50,000/= kwakua hakuna anaye jua ana Nini mguuni.
Kumlaumu Shafii ni mambo ya kipuuzi.
TapeliAnajiita Digala yaani bongo kila mtu anataka kunufaikia kwa mwenzake
Wakala akaonyeshe email zake haya ni maajabuHiyo ya kujaribiwa umem quote Shaffih Dauda mwenyewe au ni perspective yako?
Maana kwa mujibu wa interview ya Shaffih Dauda ni kwamba Chasambi aliitwa kwa ajili ya usajili sio majaribio
Lakini mbona alipoitwa kuonesha uthibitisho wa hilo dili hakuweza ku prove?