Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Sio kila kitu ni siriShaffih ni wakala mawakala ndivyo walivyo katika worldly football hayo mahojiano ni ujinga tu ,price tag za kuuzwa wachezaji hazitajwi na team inayo nunua inabaki kazi ya media na mawakala kupata habari hivyo basi ni ujinga tu wa management team kujitokeza mbele na kukanusha au kukubali maswala ya mchezaji.Umeona wapi wajifunze hata kwa JOB
Mbona mikataba ya kina Ronaldo huko tunajua wanapokea kiasi gani kwa wiki hadi mwezi?
Unataka kuniambia kwa hadhi ya Ronaldo amezidiwa na kina Azizi Ki kwenye confidentiality ya mkataba kwasababu mkataba wake kuhusu signing fee na salary vipo open?
Halafu usichokijua role ya Shaffih Dauda kwenye hii sakata haiku play as "agent" ili kupiga mpunga. Mawakala wa mchezaji ndio hao walioenda kukanusha uzushi wa Shaffih Dauda.
Shaffih Dauda alikuwa kama middle man ambaye alitaka mchezaji asainiwe kupitia foundation yake ili apate commission.
Yani yeye apate ujiko ambao haupo in reality ionekane kamkuza mchezaji kupitia foundation yake ilihali mchezaji amekuwa kwenye soko kupitia juhudi zake binafsi.
Sijui umeelewa hapo?