Watu wazima mtakumbuka!
Mkutadha wa mpira wa miguu uligunduliwa huko China!
Walikuwa wanacheza mpira wenye umbo kama la yai!
Hakukuwa na magoli wala jezi kipindi hiko, watu walitambuana kwa ukoo!
Kipindi hiko mpira ulichezwa kipindi cha mchana baada ya kula chakula cha mchana!
Haukukuwa na kikomo cha mda, Kikomo cha mpira ilikuwa either hadi upasuke au Giza liingie (usiku)
Hakukuwa na idadi maalum ya wachezaji ndani ya kiwanja, ilikuwa piga nikupige, Na aliyeonesha umahili wa kuumiliki mpira bila kupokonywa ndiye aliyestahili pongezi
Hakukuwa na kocha enzi hizo, Mwenye mamlaka yote ya mpira alikuwa ni mwenye mpira, Mwenye mpira ndiye aliyepanga nani acheze na nani asicheze,
Mwenye mpira hakutakiwa kukabwa kwa nguvu, ilikuwa ukimuumiza mwenye mpira anakufungia kucheza.
Baadae Wachina wakaboresha lakini idadi ya wachezaji ikawa inaruhusu hata watu mia mbili kucheza kwa pamoja!
Mchezo huo ukawafurahisha waingereza, wakautengenezea kanuni, na kutambulisha magoli, team na mipaka ya uwanja!
Hakukuwa na refa (mwamuzi), chochote kiliruhusiwa uwanjani bila fauro, Watu walivunjwa miguu na kabumbu liliendelea hadi Giza liingie!
Baada ya wachina kuonekana wanafanya vyema kwenye michuano, Waingereza waliendelea kuongeza Sheria na kanuni ili kuwabana!
Mpira ulivyokuwa ukitoka inje ya uwanja, Kwa wachina ilikuwa fursa kuingiza mcheza mwingine, Kila mpira ulipotoka basi ulirudi uwanjani na mchina mwingine! Kwa walivyofanana. Haikuwa rahisi kuwatambua kirahisi!
Waingereza wakaamua kuongeza kanuni mpya zaidi ili kuwabana wachina. Itaendelea!
(Mwisho wa picha wachina walikuja kufungiwa kucheza mpira kwa miaka 100)
Pamoja na kwamba wao ndiyo waliogundua kabumbu!