Ladha ya tendo inapungua ukiwa na mpenzi mmoja tu mda mrefu?

Ladha ya tendo inapungua ukiwa na mpenzi mmoja tu mda mrefu?

Itakua dozi yenu ni ya kutwa mara 3.
Jaribu kufanya kama maoni ya wengine hapo.
 
Unataka uwadhihirishie vijana kama kuoa ni UPUMBAVU.. ukipata mda omba ufutiwe uzi zushi huu
 
Mazoea tu ushamzoea kwa hiyo hana maajabu tena, ila wanaume siku zote wife akiwa mnene lazima utataka nje ule vimbau mbau au shepu ya kawaida, the same ukiwa na mke kimbaumbau kwa hiyo usishangae sana hiyo ni kawaida tu
 
Mwanaume Ni kuhangaika ....hangaika hangaika dunian utafute Mali mpya

Kazi mojawapo ya mchepuko Ni kuboost immunity ya penzi la main chick
 
Acha ushamba yaani hujaoa bado una mpenzi 1 lo lote likitokea je?
Kuwa nao hata wa5 akili ichangamke we vp?
Bila ziada hayo mahusiano ndo mwisho wake huo na mtashutumiana vibaya bila sababu.
Mama tu ndo anapaswa kuwa 1 kwenye maisha!
 
Back
Top Bottom