Mazoea tu ushamzoea kwa hiyo hana maajabu tena, ila wanaume siku zote wife akiwa mnene lazima utataka nje ule vimbau mbau au shepu ya kawaida, the same ukiwa na mke kimbaumbau kwa hiyo usishangae sana hiyo ni kawaida tu
Acha ushamba yaani hujaoa bado una mpenzi 1 lo lote likitokea je?
Kuwa nao hata wa5 akili ichangamke we vp?
Bila ziada hayo mahusiano ndo mwisho wake huo na mtashutumiana vibaya bila sababu.
Mama tu ndo anapaswa kuwa 1 kwenye maisha!