LADIES AND GENTLEMEN, WELCOME TO TANZANIA'S ULTRAMODERN SGR STATIONS.

LADIES AND GENTLEMEN, WELCOME TO TANZANIA'S ULTRAMODERN SGR STATIONS.

Hahaaa, Funny thread.
This is the reason the late Mwl J.K Nyerere established UTANI wa makabila. Unawaweka ndugu na majirani pamoja, unaondoa chuki na kukuza upendo. I like the way it turned from serious discussion to funny jokes. A simple advice to our fellow Kenyans. Muanze kutaniana wenyewe kwa wenyewe muondoe Ukabila kenya. Utani unaongeza unarafiki na kuondosha uadui.
 
Hilo ndo swali la kuuliza. You sounds kinda of brilliant fella.
Kama sio swali how comes ilohojiwa kwamba haionekani ilikoenda wala ilichofanya? Mbona matumiz mengine ya nje ya bajeti yanajulikana kwa nini ionekane 1.5tln is missing?
Acheni wizi afu mnadanganya wajinga huko vijijini kwenu
 
Hahaaa, Funny thread.
This is the reason the late Mwl J.K Nyerere established UTANI wa makabila. Unawaweka ndugu na majirani pamoja, unaondoa chuki na kukuza upendo. I like the way it turned from serious discussion to funny jokes. A simple advice to our fellow Kenyans. Muanze kutaniana wenyewe kwa wenyewe muondoe Ukabila kenya. Utani unaongeza unarafiki na kuondosha uadui.

so who said there kuna ukabila huku...what we have is positive tribalism
 
Ilinunua nini au ilikua allocated wapi? Typical mwizi wa ccm at the expense of poor suffering fellows
hapo naona umemkamata vizuri...yani tatizo..CAG anajaribu kutumia lugha ya busara...hakutaka kusema tu km zimepotea au kuibiwa...hhhhhhh...
 
ina maana huyo chotara ni bora kuliko huyo mwafrika, matusi
kwhyo kulingana na wewe huyo mweusi kanyolewa vizuri kuliko huyo chothara...yani mfuasi ni mfuasi tu...hajui mashimo wala mabonde yeye bora kila kitu ndio....
 
1552838956456.png

Built to resemble a Tanzanite Gem
 
Back
Top Bottom