ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Sidhani Kama hiyo kashifa inalingana na ile 1.5trn waliokwiba ccmTeh teh teh tihiii
Which Kenya are you talking about?
A country with full of corruption scandals?
Huh!!?
Scandal over Kenya's border fence that cost $35m for just 10km - JamiiForums
Sidhani Kama hiyo kashifa inalingana na ile 1.5trn waliokwiba ccm
Once a murderer always a murderer.You'll say that this happened 200 yrs ago.10 children slaughtered in Njombe Tanzania in alleged witchcraft - News | NTVHii habari ya miaka 10 iliyopita ishaexpire,mungiki mliikomalia hii kutuchafua but amkuweza,watalii na fursa zingine zinazidi kumiminika kwenye nchi ya maziwa
Ilinunua nini au ilikua allocated wapi? Typical mwizi wa ccm at the expense of poor suffering fellowsTeh teh teh tihiii
Kuibwa V/S matumizi yasiyokuwa kwenye bajeti
Ilinunua nini au ilikua allocated wapi? Typical mwizi wa ccm at the expense of poor suffering fellows
Kama sio swali how comes ilohojiwa kwamba haionekani ilikoenda wala ilichofanya? Mbona matumiz mengine ya nje ya bajeti yanajulikana kwa nini ionekane 1.5tln is missing?Hilo ndo swali la kuuliza. You sounds kinda of brilliant fella.
Hahaaa, Funny thread.
This is the reason the late Mwl J.K Nyerere established UTANI wa makabila. Unawaweka ndugu na majirani pamoja, unaondoa chuki na kukuza upendo. I like the way it turned from serious discussion to funny jokes. A simple advice to our fellow Kenyans. Muanze kutaniana wenyewe kwa wenyewe muondoe Ukabila kenya. Utani unaongeza unarafiki na kuondosha uadui.
so who said there kuna ukabila huku...what we have is positive tribalism
ina maana huyo chotara ni bora kuliko huyo mwafrika, matusi
wote Waafrika nduguina maana huyo chotara ni bora kuliko huyo mwafrika, matusi
hapo naona umemkamata vizuri...yani tatizo..CAG anajaribu kutumia lugha ya busara...hakutaka kusema tu km zimepotea au kuibiwa...hhhhhhh...Ilinunua nini au ilikua allocated wapi? Typical mwizi wa ccm at the expense of poor suffering fellows
kwhyo kulingana na wewe huyo mweusi kanyolewa vizuri kuliko huyo chothara...yani mfuasi ni mfuasi tu...hajui mashimo wala mabonde yeye bora kila kitu ndio....ina maana huyo chotara ni bora kuliko huyo mwafrika, matusi
Twende na JpM2020Hello dear friends from the South, with all the noise you made you are still ending up building these things? The first one is PUGU and the second one is SOGAView attachment 1045491View attachment 1045494
Sent using Jamii Forums mobile app
Twende na JpM2020