Ladies, hii ndio njia ya kuolewa fasta

Ladies, hii ndio njia ya kuolewa fasta

Hiini sabab y wanaume tutaendelea kuitawala dunia,..(kwa,same age) wakat mwanamke akili yake inawaza kutafta mume akili ya mwanaume inawaza kutafta njia za kuingiza pesa..had mdada aje kushtuka,,too late,anaolewa anapewa mimba.kwishnei,..wanawake tafuten pesa
 
Pesa zinatafutwa mpaka uzeeni bruh
Usituletee Uchaga na upare hapa!
We jidanganye tuu,..naona una hallucinate..we endelea kutafta mumue,mwenzio anatafta pesa anakuoa anakutandika mimba,unakaa ndan yeye anachepuka,we kwenu familia choka mbaya unategemea had mume akupe pesa upeleke kwa wazee wako,amkeni jaman
 
Wengine Wanadai Et Hawataki Sogea Tu Kae. Wanataka Wavae Shela Na Matarumbeta! Me Nliwah Kusema Hapa Jf, Kuchelewa Kuolewa Kwa Bint Kunasababshwa Na Yeye Mwenyewe, Wala Co Bahati. Ukiolewa Na Mo Dewij, Tutasema Una Bahati, Lkn Kuwa Na Mume? Jiongezen Dunia Ya Ss Ni Ya Kbepar, U.S Walianza Zaman. Na Acheni Drama, Maisha Ni Magumu Eleweni Na Jikazen.
 
[Hahahha umeniwahi ndio maboya hao hawajui kutongoza
E="jogi, post: 21606192, member: 26923"]Uambiwe tu "tuoane" nawe uingie mzima mzima kisa mmekuwa marafiki kwa miaka kadhaa!!!!?

Huyo mwanaume atakuwa msukuma (kwa kabila)[/QUOTE]
R
Haha
 
Siku moja akaamua kumtoa out bwanake, wakiwa wanakula, wanafurahi, wanapata dessert, my friend akamwambia bwana, unaonaje tukioana?

Kwenye red, kama 'kuoana' sawa lakini 'kuoelewa' ni issue. Ila Ebitoke amewaonyesha njia pia.
 
Money penny ni story teller kama ngugi wa thiong'o sasa wajinga,wata put into practice hahahha don't try this at home
 
They say, desperate times calls for desperate measures!

Lakini wadada wa kibongo skuhizi buana nawapenda sana, sio kwa kujiamini huku!

kuna rafkiangu ametoka kuni surprise leo, kaniambia kuwa alikuwa na bwana wake, for 3yrs hakuona kabisa dalili ya jamaa kumuoa

Siku moja akaamua kumtoa out bwanake, wakiwa wanakula, wanafurahi, wanapata dessert, my friend akamwambia bwana, unaonaje tukioana?
Jamaa yake anatoa macho, abamwuliza kweli?
My friend: Yes, why not, hatuna cha kupoteza u know na tumefahamiana vya kutosha
Jamaa: ok no problemo!
Wakamalizia show kwa room, hakukuwa na pete ya kuvishwa wala nini, na harusi yao ni jumamosi ijayo

You see ladies, this is the new improved way of how to get away with marriage, ukisuburi fairy tale, Romeo and Julieth Bado hawajaamka usingizini ivooo?! Usije subiri miaka 2000 kurudi kwa Yesu.

Desperate times calls for desperate measures!

Ndo ivo akina dada mjitoe ufahamu sio kunataa

Aisee
 
Money penny nitafutie danga lenye heraa(n yo voice[emoji23][emoji23][emoji23]) nimechoka kua single aah
 
They say, desperate times calls for desperate measures!

Lakini wadada wa kibongo skuhizi buana nawapenda sana, sio kwa kujiamini huku!

kuna rafkiangu ametoka kuni surprise leo, kaniambia kuwa alikuwa na bwana wake, for 3yrs hakuona kabisa dalili ya jamaa kumuoa

Siku moja akaamua kumtoa out bwanake, wakiwa wanakula, wanafurahi, wanapata dessert, my friend akamwambia bwana, unaonaje tukioana?
Jamaa yake anatoa macho, abamwuliza kweli?
My friend: Yes, why not, hatuna cha kupoteza u know na tumefahamiana vya kutosha
Jamaa: ok no problemo!
Wakamalizia show kwa room, hakukuwa na pete ya kuvishwa wala nini, na harusi yao ni jumamosi ijayo

You see ladies, this is the new improved way of how to get away with marriage, ukisuburi fairy tale, Romeo and Julieth Bado hawajaamka usingizini ivooo?! Usije subiri miaka 2000 kurudi kwa Yesu.

Desperate times calls for desperate measures!

Ndo ivo akina dada mjitoe ufahamu sio kunataa

Hii itawezekana endapo mwanaume ni king'ang'anizi na sio mkata tamaa mapema anampenda sana Huyo mwanamke na anakiu ya ndoa ila mwanamke huwa hana habar naye na wala hamhitaji! Siku sasa akifanya hivyo kweli inatiki[emoji736]
Nje ya hapo sahau, utamtoa out na utaliwa na kuachwa bilabila kama kawaida
Kwanza et 3years ndan ya mahusiano mwanaume hawez oa kizimamoto hivyo labda awe boya!
 
Money Penny, post: 21679557, member: 371399"]Ahahaha akyanani
Kwani nyie wasukuma wamewafanyaje?!
[HASHTAG]#hapakazitu[/HASHTAG][/QUOTE]

Wasukuma hawajui kutongoza wao wanahonga tu hata kama kuna mteremko hatambui
Pasco mayala anajua....

Hahahahahahah alaf pia wana buruzwa sana na mademu

Was
 
TE="Money Penny, post: 21679597, member: 371399"]Ahahaha ha
Wewee me naelezea real life mehn![/QUOTE]

Sawa mayoo
 
Back
Top Bottom