PATIE DE CHRISS
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 460
- 229
Hahahhahaha hapo kweli kujitoa ufahamu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jidanganye tuu,..naona una hallucinate..we endelea kutafta mumue,mwenzio anatafta pesa anakuoa anakutandika mimba,unakaa ndan yeye anachepuka,we kwenu familia choka mbaya unategemea had mume akupe pesa upeleke kwa wazee wako,amkeni jamanPesa zinatafutwa mpaka uzeeni bruh
Usituletee Uchaga na upare hapa!
Siku moja akaamua kumtoa out bwanake, wakiwa wanakula, wanafurahi, wanapata dessert, my friend akamwambia bwana, unaonaje tukioana?
They say, desperate times calls for desperate measures!
Lakini wadada wa kibongo skuhizi buana nawapenda sana, sio kwa kujiamini huku!
kuna rafkiangu ametoka kuni surprise leo, kaniambia kuwa alikuwa na bwana wake, for 3yrs hakuona kabisa dalili ya jamaa kumuoa

Jamaa yake anatoa macho, abamwuliza kweli?
My friend: Yes, why not, hatuna cha kupoteza u know na tumefahamiana vya kutosha
Jamaa: ok no problemo!
Wakamalizia show kwa room, hakukuwa na pete ya kuvishwa wala nini, na harusi yao ni jumamosi ijayo
You see ladies, this is the new improved way of how to get away with marriage, ukisuburi fairy tale, Romeo and Julieth Bado hawajaamka usingizini ivooo?! Usije subiri miaka 2000 kurudi kwa Yesu.
Desperate times calls for desperate measures!
Ndo ivo akina dada mjitoe ufahamu sio kunataa
OkayBro me mke wa mtu naolewa mara ngap sa?!

Uambiwe tu "tuoane" nawe uingie mzima mzima kisa mmekuwa marafiki kwa miaka kadhaa!!!!?
Huyo mwanaume atakuwa msukuma (kwa kabila)[/QUOT
Wasukuma wamewakosea nini lakini?
We money penny acha masihara!!!Wameoana leo nimetoka kwa wedding yao
Nipo serious dear nigee yo digits tuyajenge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uuuwi upo serious au?!