Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Sio siri hii kitu iko wazi na nimeshawahi kushuhudia watu wangu kadhaa wakikumbwa na hii kadhia! Unakuta mtu yupo na mpenzi wake katikati ya mahusiano mambo yanakuwa tight ghafla labda mchizi kapoteza kazi hela imekata, approach ambayo ataitumia mpenzi wake ni kuhama tawi yani kuhamishia mapenzi kwa mchizi mwingine ambaye yuko well of na hatimae ku break up na jamaa wake wa mwanzo!
Swali kwenu ladies why do you always choose getting a new relationship wakati tatizo hasa ni pesa badala ya kutafuta kazi ya kufanya?
Swali kwenu ladies why do you always choose getting a new relationship wakati tatizo hasa ni pesa badala ya kutafuta kazi ya kufanya?