Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Kama wana vichwa vyepesi watakuelewa. Ila usitegemee Slay Queen akakuelewa katika hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MkuuSio siri hii kitu iko wazi na nimeshawahi kushuhudia watu wangu kadhaa wakikumbwa na hii kadhia! Unakuta mtu yupo na mpenzi wake katikati ya mahusiano mambo yanakuwa tight ghafla labda mchizi kapoteza kazi hela imekata, approach ambayo ataitumia mpenzi wake ni kuhama tawi yani kuhamishia mapenzi kwa mchizi mwingine ambaye yuko well of na hatimae ku break up na jamaa wake wa mwanzo!
Swali kwenu ladies why do you always choose getting a new relationship wakati tatizo hasa ni pesa badala ya kutafuta kazi ya kufanya?
Naomba nkuchukue wewe mkuuWapo chief...juhudi yako tuu..haha
Ntakuweza tajiri???Naomba nkuchukue wewe mkuu
Hofu kwako mkuuNtakuweza tajiri???
Nna hofu kweli na matajiri mm...Hofu kwako mkuu
Binafsi hata mwanaume akiwa na pesa sipendi kujibweteka lazima niwe nashughuli ya kufanya. Kwahyo hata yeye akiwa Hana Mimi sikosi hela ya mboga!We huwa unachagua nini kati ya kutafuta kazi ama mpenzi mpya?
Hongera sana chaurembo umejipambanua vizuri kuwa sio wale yatima, btw i like ur Avatar uko musupa!Binafsi hata mwanaume akiwa na pesa sipendi kujibweteka lazima niwe nashughuli ya kufanya. Kwahyo hata yeye akiwa Hana Mimi sikosi hela ya mboga!
Hahahahaah hii kitu ilinchekesha sana siku ya kwanza kuiona hahahaha!!! Kiukweli unachosema ni sahihi maana kuwa na mademu wa ziada ni kama cushion endapo mambo yakiwa hayako upande wako! Hii mbinu wahuni ndio tunaitumia sikuhizi halafu inasaidia sana kukufanya uwe na msimamo thabiti si mtu wa kuburuzwa buruzwa!kama unaogopa kuachwa na kupata maumivu jitahidi uwe na mademu kama 3 au zaidi ukikuacha moja wala hata huwazi unakuwa normal cz waliobakia wanakupa faraja.View attachment 933138
Hahahahaj good question. Nasubiri majibuUnawaambia wanawake hawa weusi au wengine.
mkuu kuna kitu tulifichwa na EVA alichoambiwa kuhusu pesa maana si kwa mwendo huu..Hahahahaah hii kitu ilinchekesha sana siku ya kwanza kuiona hahahaha!!!
Aisee ni kweli unachoeleza. Wapenz wahamaji. Hawa wako kwa mtu sababu wanapatakitu na si kwa sababu ya upendo. Fulia kidogo ndio utaelewa maana yake.Hahahha hao napenda kuwaita "nomadic lovers" watu wa hivyo hawana love wana lust ndio maana hawawezi kuvumilia hata shida ya siku moja,.tunaambiwa UPENDO huvumilia,husamehe,haufanyi mambo yake n.k,..so,ukifanya kinyume na hapo huo sio upendo ni tamaa tuu na kuendekeza njaa,.