Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Msukuma chapa ng'ombe, mjini nlikuja na Lori la mihogoUna sound kama unatokea kanda ya mlima mrefu Africa, bila shaka TIN namba hii ni ya kule mkuu hebu niweke bayana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msukuma chapa ng'ombe, mjini nlikuja na Lori la mihogoUna sound kama unatokea kanda ya mlima mrefu Africa, bila shaka TIN namba hii ni ya kule mkuu hebu niweke bayana!
Hahaha hilo tuliweke in (....)comrade 😉😉We unaonekana una roho ya kizungu sana mamii, napenda hio attitude yako very understanding and never selfish i can't imagine huyo jamaa yako anavyoinjoy! Vipi kuna alieleta mahari tayari, on serious note?
Ni kweli wala si uongo!!
Hahaaaaa mabadilikoooAisee sijawahi ona TIN namba ya usukumani aina yako mkuu, you must be Exquisite!
hao sio ladies bhana ni girlsSio siri hii kitu iko wazi na nimeshawahi kushuhudia watu wangu kadhaa wakikumbwa na hii kadhia! Unakuta mtu yupo na mpenzi wake katikati ya mahusiano mambo yanakuwa tight ghafla labda mchizi kapoteza kazi hela imekata, approach ambayo ataitumia mpenzi wake ni kuhama tawi yani kuhamishia mapenzi kwa mchizi mwingine ambaye yuko well of na hatimae ku break up na jamaa wake wa mwanzo!
Swali kwenu ladies why do you always choose getting a new relationship wakati tatizo hasa ni pesa badala ya kutafuta kazi ya kufanya?
😳😳😳😳😳Ninasikia kuwa yule jamaa mliacha kisa alikuwa na Cheti feki akatumbuliwa.
Nilikua muumini wa kuamini maisha na mapenzi mazuri ni kuanza pamojaBila shaka umewazungumzia wasichana... wanawake hawapo hivyo.
Kwa mtizamo wangu, wakat mwingine inachochewa na namna ambavyo mlianza mahusiano, labda ulitumia kazi/wadhifa/fedha kumpata mwanamke
Hvyo, vikipotea, na mapenzi yanakufa kibudu.
Lakini kama ulianza naye ukiwa hauna kitu na mkavuniliana na kupenda ktk hatua ya utafutaji, nadhani hata ukipata fedha halafu baadaye zikapotea, hawez kukubwaga.
Ingawa, wapo wanaume wenzetu wanatuaibisha sana, unakuta amependwa na mwanamke akiwa hana kitu na amevumiliwa kwelikweli mpk anakuja kuwa na mifedha, cha ajabu akifanikiwa anaanza kumnyanyasa mpenzi wake wa siku zote na kuchukua wanawake wengne.... laana ya hili jambo ni kubwa sana.
In short, kuanza chini ni muhimu ili kuepuka purukushan huko mbele.
Tulishaachwa sana huko nyuma tatizo cash,ila waliovumilia wanakula mbivu sasa hiviSio siri hii kitu iko wazi na nimeshawahi kushuhudia watu wangu kadhaa wakikumbwa na hii kadhia! Unakuta mtu yupo na mpenzi wake katikati ya mahusiano mambo yanakuwa tight ghafla labda mchizi kapoteza kazi hela imekata, approach ambayo ataitumia mpenzi wake ni kuhama tawi yani kuhamishia mapenzi kwa mchizi mwingine ambaye yuko well of na hatimae ku break up na jamaa wake wa mwanzo!
Swali kwenu ladies why do you always choose getting a new relationship wakati tatizo hasa ni pesa badala ya kutafuta kazi ya kufanya?
very true dearMaisha ya kuendekeza njaa na dhiki ni mabaya sana,..huwezi kuja kufurahia maisha hata siku moja...
ni bora kwa pmj kuanza tena kutafuta pmj kuliko kuhama kambi kisa fedha huo ni ujinga wa kiwango cha lamiSio siri hii kitu iko wazi na nimeshawahi kushuhudia watu wangu kadhaa wakikumbwa na hii kadhia! Unakuta mtu yupo na mpenzi wake katikati ya mahusiano mambo yanakuwa tight ghafla labda mchizi kapoteza kazi hela imekata, approach ambayo ataitumia mpenzi wake ni kuhama tawi yani kuhamishia mapenzi kwa mchizi mwingine ambaye yuko well of na hatimae ku break up na jamaa wake wa mwanzo!
Swali kwenu ladies why do you always choose getting a new relationship wakati tatizo hasa ni pesa badala ya kutafuta kazi ya kufanya?