Ladies kama mpenzi wako hana pesa solution ni kutafuta kazi sio mpenzi mpya

Kwani ukimfungulia biashara ndio kwamba hatokuacha ukikosa kazi mkuu, hebu siku jaribu kutumbuliwa uone huyo anaekuita honey leo atakavyobadilika na kuwa kitu cha ajabu ambacho hujawahi hata dhania!

Huyo wa hivyo hata kama uko na pesa atakutumbua tu.

Niliandika hivyo kwa sababu umetumia pesa kama kigezo cha kutumbuliwa pale zinapileta utata.
 
Kwamba hao ni wapenzi wasio na nia ya dhati ya mapenzi,,hahah tatizo huwezi kuwajua kirahisi hasa kipindi ukiwa mambo safi, we unashauri wapenzi wafanyaje mambo yakiwa alijojo? Je ni sahihi kukimbiana kweli?
Kumkimbia mtu kwa sababu ya mabadiliko ya kitu fulani hasa ya kiuchumi si jambo jema hata kidogo,.maisha yanabadilika, hatuna guarantee kwamba hali hii ya maisha itadumu hivyo milele kwamba kila siku zitakuwa siku za neema tuu,.biblia inasema kila jambo na wakati wake,wakati wa kupata na kukosa kwahiyo lazima tuweke kwenye akili zetu hilo...ukisema ukimbie utakimbia wangapi na mpaka wapi????my point is ukijiona mdangaji bora umwambie mtu ukweli tuu akae akijua kuliko kujifanya unampenda wakati upo after something,si jambo zuri hata kidogo me naona ni dhambi kama dhambi zingine tuu...
 
I love the way you think in such dimensions, kiukweli ni aheri ukweli mchungu kuliko comforting lies! Mwisho wake huwa mmbaya sana yani sema wanawake kama wewe mpo wachache sana sikuhizi, it sucks!!!
 
Natafuta mpenzi mpya.. Bwanangu tuliachana baada ya kupunguzwa kazini.. Alie interested aje pm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kuwe na kipya
 
Mimi mwenyewe nimekimbiwa aisee, mpenzi wangu pita huku upate ushauri Wa bure
 
Hahaha team Nomadics, nmekusoma kila mtanzania ana haki ya kuishi kwa namna yeyote apendayo bila kuvunja kattiba ya nchi!
Bila kusahau maandiko matakatifu, jukumu la kula kwa jasho sio la mwanamke huku kufanya kazi ni kwenda kinyume na maagizo ndo maana migogoro haiishi, tunatunishiana misuli kisa wote tunaprovide, tunakua kama kambale baba mama wote tuna ndevu.
 
I love the way you think in such dimensions, kiukweli ni aheri ukweli mchungu kuliko comforting lies! Mwisho wake huwa mmbaya sana yani sema wanawake kama wewe mpo wachache sana sikuhizi, it sucks!!!
Watu hasa sisi ngozi nyeusi lazima tubadilike aisee,hizi mambo za kuwa waongo-waongo kwa mahusiano ili tuu upate kitu fulani si mazuri...ukweli humweka mtu huru siku zote na uongo utabaki kuwa uongo.
 
Bila kusahau maandiko matakatifu, jukumu la kula kwa jasho sio la mwanamke huku kufanya kazi ni kwenda kinyume na maagizo ndo maana migogoro haiishi, tunatunishiana misuli kisa wote tunaprovide, tunakua kama kambale baba mama wote tuna ndevu.
Ha ha ha ha nakubali CowGirl, kwahio kwamba wewe huwezi hudumia familia mmeo akiwa hana, vipi akiwa hoi kitandani kamanda? Msimamo wako uko vipi au ndio kama kawa atajiju!
 
Watu hasa sisi ngozi nyeusi lazima tubadilike aisee,hizi mambo za kuwa waongo-waongo kwa mahusiano ili tuu upate kitu fulani si mazuri...ukweli humweka mtu huru siku zote na uongo utabaki kuwa uongo.
We unaonekana una roho ya kizungu sana mamii, napenda hio attitude yako very understanding and never selfish i can't imagine huyo jamaa yako anavyoinjoy! Vipi kuna alieleta mahari tayari, on serious note?
 
Ha ha ha ha nakubali CowGirl, kwahio kwamba wewe huwezi hudumia familia mmeo akiwa hana, vipi akiwa hoi kitandani kamanda? Msimamo wako uko vipi au ndio kama kawa atajiju!
Kuumwa hilo linafahamika sina roho mbaya kiasi hicho, ila mzima ooh God amuongezee Mme wangu zaidi na zaidi yani ampe kila siku. Amen
 
Una sound kama unatokea kanda ya mlima mrefu Africa, bila shaka TIN namba hii ni ya kule mkuu hebu niweke bayana!
 
Mwanaume ukiachwa kwa sababu umefulia hesabu hukuwa na mpenzi ulikuwa na mdangaji
 
Back
Top Bottom