The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Kwani ukimfungulia biashara ndio kwamba hatokuacha ukikosa kazi mkuu, hebu siku jaribu kutumbuliwa uone huyo anaekuita honey leo atakavyobadilika na kuwa kitu cha ajabu ambacho hujawahi hata dhania!
Huyo wa hivyo hata kama uko na pesa atakutumbua tu.
Niliandika hivyo kwa sababu umetumia pesa kama kigezo cha kutumbuliwa pale zinapileta utata.