Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
HongeraNiliwahi date the guy hakuniambia kama kuna vitu tayari anamiliki, baada ya uhusiano na kwenda nyumbani kwetu ndiyo anaanza kufunguka I have this and this, na akaanza nionyesha vitu vyake, nadhani ndiyo alianza kuniamini lakini ukweli baada ya kujua hayo yote ndiyo nikachukua uamuzi wa kuachana naye..!
Sababu mwanzo nilijua hiyo 'kind ya disrespect' ako nayo sometimes, labda ndivyo alivyo, baada ya kujua alivyo navyo ndiyo akili ikafunguka anhaa' kumbe this is the reason huyu kaka anani treat hivi?? Sababu ana jeuri na 'kibri' cha pesa, nadhani alikuwa anaamini hakuna mwanamke atamuacha, ila mzee hakuamini niliseeeepa mbio nyingi sana japo hadi nyumbani alikuwa anafahamika tayari.!!
Ladies, ni wanaume wachache sana uwakute wana kila kitu na bado wataku treat right, tumeanza from the scratch na my current man na raqha ya kupendwa na kuheshimiwa naiona lol'.!!
Na unavyojua kuhadithia kwa mpangilio Sasa[emoji4]
Ntakuja pm uwe unanihadithia na kunipa ushauri.