Ladies, let’s do the real talk...

Ladies, let’s do the real talk...

Niliwahi date the guy hakuniambia kama kuna vitu tayari anamiliki, baada ya uhusiano na kwenda nyumbani kwetu ndiyo anaanza kufunguka I have this and this, na akaanza nionyesha vitu vyake, nadhani ndiyo alianza kuniamini lakini ukweli baada ya kujua hayo yote ndiyo nikachukua uamuzi wa kuachana naye..!

Sababu mwanzo nilijua hiyo 'kind ya disrespect' ako nayo sometimes, labda ndivyo alivyo, baada ya kujua alivyo navyo ndiyo akili ikafunguka anhaa' kumbe this is the reason huyu kaka anani treat hivi?? Sababu ana jeuri na 'kibri' cha pesa, nadhani alikuwa anaamini hakuna mwanamke atamuacha, ila mzee hakuamini niliseeeepa mbio nyingi sana japo hadi nyumbani alikuwa anafahamika tayari.!!

Ladies, ni wanaume wachache sana uwakute wana kila kitu na bado wataku treat right, tumeanza from the scratch na my current man na raqha ya kupendwa na kuheshimiwa naiona lol'.!!
Hongera

Na unavyojua kuhadithia kwa mpangilio Sasa[emoji4]
Ntakuja pm uwe unanihadithia na kunipa ushauri.
 
Kuanza pamoja is overrated.

Unaanza nae unakuwa " the woman he can get ", mkipasua anatafuta "the woman he actually wants " [emoji2960][emoji2960] . Wanaume wengi wanasettle na wanawake kupunguza makali ya maisha lakini si kwamba mapenzi ni ya dhati.

Kama Mimi Ni broke or not, kama ningekuwa approached na mtu alietafuta mwenyewe I will know I am the woman he actually wants.
[emoji122][emoji122]
 
Anaweza akawa anakili kitu but asiwe na akili ya kuendesha zile mali zake, na akakutana na ww ukampa muongozo mzuri na akazidi fanikiwa na akupenda sana tu. Unaweza ukaanza chini na mtu na bado akawa msumbufu kwenye mapenzi akaspend kile mlichotafuta wote na wanawake wengine.
labda wale wa kupewa za urithi tu lakini mtafutaji anajua vyema kuendesha mitikasi yake
hoja yako nzuri sana
 
Kuanza pamoja is overrated.

Unaanza nae unakuwa " the woman he can get ", mkipasua anatafuta "the woman he actually wants " 🤭🤭 . Wanaume wengi wanasettle na wanawake kupunguza makali ya maisha lakini si kwamba mapenzi ni ya dhati.

Kama Mimi Ni broke or not, kama ningekuwa approached na mtu alietafuta mwenyewe I will know I am the woman he actually wants.
Thank you...
Sikuhizi naona trend iliyopo ni we meet somewhere or at the top..kila mtu anatafuta

and why is it always assumed that the woman is broke?.

Hivi hamna wadada wenye hela?.

ukiwa na hela dating broke guys can be difficult..afterall well off guys dont date broke btches either(excuse my language)
 
A guy unamkuta ana nyumba, ana usafiri, ana biashara yake na kazi yenye kipato kizuri. All of this umekuta ameaccomplish mwenyewe bila ya wewe.....

Then unakuwa attracted na this type of a guy na kumpa all of your attention na moyo ili muwe pamoja. But the problem inakuja kwenye swala moja....?!

Unakwenda kuchangia nini katika maisha yake zaidi ya kutaka kutumia nae alichotafuta......?!

If he in all well and good and you are broke as broke..... Nambie hapa unakwenda kutoa what type of contribution ili tuite umekwenda fanya maisha na huyu brother?!

Ladies can i hear from you about this, guys you too can contribute.

On my side sijawahi kutamani that time of start katika mahusiano. The good thing nimeona thamani ya kuanza pamoja na hata hapa nilipofikia nashukuru sana MUNGU naona tofauti ya kuishi na mwanaume na kuwa na mwanaume........
Wewe huna shughuli ya kukuingizia kipato pia?.
Okay kama usafiri ama nyumba huna;any plans?

Like.,kama binti dont u have anything good going on i ur life u can show for it?.

being broke ni issue ila sio issue sana... issue ni 'mindset' ...u have to know u wont remain the same woman
 
Thank you...
Sikuhizi naona trend iliyopo ni we meet somewhere or at the top..kila mtu anatafuta

and why is it always assumed that the woman is broke?.

Hivi hamna wadada wenye hela?.

ukiwa na hela dating broke guys can be difficult..afterall well off guys dont date broke btches either(excuse my language)
What about dating a broke lady? Ila maisha haya, dah!!
 
A guy unamkuta ana nyumba, ana usafiri, ana biashara yake na kazi yenye kipato kizuri. All of this umekuta ameaccomplish mwenyewe bila ya wewe.....

Then unakuwa attracted na this type of a guy na kumpa all of your attention na moyo ili muwe pamoja. But the problem inakuja kwenye swala moja....?!

Unakwenda kuchangia nini katika maisha yake zaidi ya kutaka kutumia nae alichotafuta......?!

If he in all well and good and you are broke as broke..... Nambie hapa unakwenda kutoa what type of contribution ili tuite umekwenda fanya maisha na huyu brother?!

Ladies can i hear from you about this, guys you too can contribute.

On my side sijawahi kutamani that time of start katika mahusiano. The good thing nimeona thamani ya kuanza pamoja na hata hapa nilipofikia nashukuru sana MUNGU naona tofauti ya kuishi na mwanaume na kuwa na mwanaume........
Tatizo wanawake wengi wa hapa Bongo wako na tamaa kama hii ya Hamisa Mobeto, wanamfuata jamaa kisa ana hela ili awe anazitumia tu pesa na kujianika mitandaoni kuwa kapata. In reality hana any contribution katika maendeleo ya huyo mtu. Siku za nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na mwanamke wa dizaini ya Hamisa na Wema, yule mwanamake alijuwa kuwa nina mke na alijitahidi sana kushindana na mke wangu na kutaka nimuache niwe naye yeye.

Najuwa nilifanya kosa kumcheat mke wangu ila haikuwa nia yangu, huyu mwanamke alikuwa kero kwangu, so kwa kifupi nilidhani ningeduu naye angeniacha alone kumbe sivyo. Mdada alikolea penzi na kunipigia simu hata nikimwambia niko na mke wangu anaanza kubwaka, yaani mimi unaniona sifai siyo?

Namwambia wewe na mimi ni marafiki tu huyu ni mke wangu, anakasirika na kuanza kumsaka mke wangu wajilinganishe. Nilikuja kumuacha aliponiambia nimjengee nyumba kama anayoishi mke wangu na nimnunulie gari kama la mke wangu, nikamtalia na kukata line.....Sasa anasema atanikomesha kwanini nimempotezea muda, yaani wanawake kwa kweli mnaboa sometimes.
 
Tatizo wanawake wengi wa hapa Bongo wako na tamaa kama hii ya Hamisa Mobeto, wanamfuata jamaa kisa ana hela ili awe anazitumia tu pesa na kujianika mitandaoni kuwa kapata. In reality hana any contribution katika maendeleo ya huyo mtu. Siku za nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na mwanamke wa dizaini ya Hamisa na Wema, yule mwanamake alijuwa kuwa nina mke na alijitahidi sana kushindana na mke wangu na kutaka nimuache niwe naye yeye. Najuwa nilifanya kosa kumcheat mke wangu ila haikuwa nia yangu, huyu mwanamke alikuwa kero kwangu, so kwa kifupi nilidhani ningeduu naye angeniacha alone kumbe sivyo. Mdada alikolea penzi na kunipigia simu hata nikimwambia niko na mke wangu anaanza kubwaka, yaani mimi unaniona sifai siyo? Namwambia wewe na mimi ni marafiki tu huyu ni mke wangu, anakasirika na kuanza kumsaka mke wangu wajilinganishe. Nilikuja kumuacha aliponiambia nimjengee nyumba kama anayoishi mke wangu na nimnunulie gari kama la mke wangu, nikamtalia na kukata line.....Sasa anasema atanikomesha kwanini nimempotezea muda, yaani wanawake kwa kweli mnaboa sometimes.
Jesus what a crazy woman!!
 
Hehehe sasa Kuna wanaume ata Mali bado hawana lkn anavo kutreat kama anakufanyia hisani kuwa nae na hapo ata kazi hana nawaza tu upepo wa pesa ukimpitia cjui itakuwaje....apo akishika tu 50 anabadilika sasa akishika millions of money...
na pia kuna type ya men (me included) ambao tukipata pesa hata kama ni kiasi kidogo tunajitahidi sana kuwaonyesha wanawake zetu ni jinsi gani tunawapenda . don't be too negative dear
 
na pia kuna type ya men (me included) ambao tukipata pesa hata kama ni kiasi kidogo tunajitahidi sana kuwaonyesha wanawake zetu ni jinsi gani tunawapenda . don't be too negative dear
Hongereni sana
 
Thank you...
Sikuhizi naona trend iliyopo ni we meet somewhere or at the top..kila mtu anatafuta

and why is it always assumed that the woman is broke?.

Hivi hamna wadada wenye hela?.

ukiwa na hela dating broke guys can be difficult..afterall well off guys dont date broke btches either(excuse my language)

Exactly . Realistically kama kweli mwanamme anazo hela na mali za kueleweka, kwanini aende kutafuta broke b*tch? Aidha atatafuta anaelingana nae au ambae at least ana juhudi fulani katika maisha.

Exception pekee ambayo naweza kufikiria ni ma Trophy Wife. Wanataka arm candy, kitu cha kuringishia wengine. Au labda mwanamme ana pesa lakini sura na shepu no mbovu mbovu so atahakikisha mwanamke ampatae ni 100% model type ili angalau watoto wawe na chance kuwa na sura zinazoeleweka.

Beauty is currency.

Mfano Trump na Melania. Trump was rich, Melania ni masikini from eastern europe hata kiingereza kinampiga chenga. Trump mbegu yako ni mbaya hata as a self proclaimed billionaire ona mitoto yake. Thank goodness for plastic surgery hao mabinti wamepona kidogo. Watoto wote wamezaliwa na ma model type.....

1603130642437.png

1603130760281.jpeg

1603130758659.png
 
Attachments

  • 1603130502378.png
    1603130502378.png
    211.5 KB · Views: 2
  • 1603130636350.png
    1603130636350.png
    598.6 KB · Views: 2
Kinachompa A furaha sio kinachompa B furaha. Wewe kama unaona sawa kuwa na mtu ambae umemkuta hana kitu ni sawa, mwingine mwenye maono makubwa ya maisha anaweza kumtoa huyo aliemkuta na gari moja akamiliki sita, aliemkuta na nyumba moja akamfanya wamiliki nyumba kila wilaya, akamfanya wamiliki viwanda.

Dr Mwaka alianza na mkewe kuanzia huko chini lakini sasa hivi ameongezewa kila kitu utajiri na wake wenza. Kwahiyo tulia mama kila mmoja aishi maisha yake.
 
Niliwahi date the guy hakuniambia kama kuna vitu tayari anamiliki, baada ya uhusiano na kwenda nyumbani kwetu ndiyo anaanza kufunguka I have this and this, na akaanza nionyesha vitu vyake, nadhani ndiyo alianza kuniamini lakini ukweli baada ya kujua hayo yote ndiyo nikachukua uamuzi wa kuachana naye..!

Sababu mwanzo nilijua hiyo 'kind ya disrespect' ako nayo sometimes, labda ndivyo alivyo, baada ya kujua alivyo navyo ndiyo akili ikafunguka anhaa' kumbe this is the reason huyu kaka anani treat hivi?? Sababu ana jeuri na 'kibri' cha pesa, nadhani alikuwa anaamini hakuna mwanamke atamuacha, ila mzee hakuamini niliseeeepa mbio nyingi sana japo hadi nyumbani alikuwa anafahamika tayari.!!

Ladies, ni wanaume wachache sana uwakute wana kila kitu na bado wataku treat right, tumeanza from the scratch na my current man na raqha ya kupendwa na kuheshimiwa naiona lol'.!!
Ni mawazo yako tu ya kimasikini ndio ulihisi unakua disrespected au ni tabia tu ya huyo mwanaume uliekutana nae. Kwani hata huyo asiekua na mali siku akizipata utaanza kuona tabia zake ambazo hujawahi kuziona. Maisha yako vile ambayo unayachukulia kuliko vile unadhani watu wanakuchukulia.
 
Exactly . Realistically kama kweli mwanamme anazo hela na mali za kueleweka, kwanini aende kutafuta broke b*tch? Aidha atatafuta anaelingana nae au ambae at least ana juhudi fulani katika maisha.

Exception pekee ambayo naweza kufikiria ni ma Trophy Wife. Wanataka arm candy, kitu cha kuringishia wengine. Au labda mwanamme ana pesa lakini sura na shepu no mbovu mbovu so atahakikisha mwanamke ampatae ni 100% model type ili angalau watoto wawe na chance kuwa na sura zinazoeleweka.

Beauty is currency.

Mfano Trump na Melania. Trump was rich, Melania ni masikini from eastern europe hata kiingereza kinampiga chenga. Trump mbegu yako ni mbaya hata as a self proclaimed billionaire ona mitoto yake. Thank goodness for plastic surgery hao mabinti wamepona kidogo. Watoto wote wamezaliwa na ma model type.....

View attachment 1605255

View attachment 1605261

View attachment 1605262
nini hii umeandika sasa umeanza vizuri ukaishia kwenye ubaguzi
 
Back
Top Bottom