Ladies, let’s do the real talk...

Ladies, let’s do the real talk...

Mwanaume akiwa na kila kitu anakuwa sokoni yaani pale wanawake wote wenye tamaa za kipuuzi puuzi wanamuwinda hii ni sawa na mwanamke mzuri sana mara nyingi unakuta benz zinasimama kutongoza hawa watu uwaga na mtazamo flan hivi wa kipekee sio wote lakini.

ILA sikushauri uanze na mwanaume maskini kutafuta maisha kama unajijua una dharau maana wengi wenu wadada unakuta anaishi na mwanaume maskini kuanzia chini kidharau dharau,kimasimang’o halafu eti mwanaume akishika hela anatarajia ataendelea kuvumilia dharau zake,NEVER.Kama huwezi kuishi na mwanaume maskini kwa kumuheshimu achana nae mapemaaaaaa maana akishika hela atakubadilikia mpk ushangae...

Note:wanawake mjue kbs ni wanaume wachache sana utawanyanyasa wakiwa na hela hivyo kuwa makini na mwanaume ambaye yupo stable,mnyanyase akiwa hana kitu akipata ndugu yangu naomba heshima irudi kwa kishindo.Utakuja kulalamika humu mwanaume nimemvumilia akiwa hana hela kapata ananidharau,ULIKUWA UNAISHIJE NAE kipindi hana hela????????????????????mwanaume hana kazi utasikia yaani wewe umekAa kaa tu sijui ht km unhangaika kutafuta kazi, unadhani kazi zitakufuata.Maneno hayo unamwambia mwanaume ambaye sh kumi hana,ana njaa na stress za kutosha sasa apate kazi endelea na kauli zako za bila mimi uzingefika hapo,nimekuvumilia sana na taka taka nyingine,utapigwa matukio mpk ukome[emoji3525][emoji3525][emoji3525]

Kila utakalo msimanga mwanaume asiye na pesa ujue kbs mwenzako anawaza dharau hizii sababu anaona sina pesa.Ogopa sana hiyo attitude...
Mkuu hii comment ntaifungua kama uzi sababu imenikuna mno...hili ni jibu la dhahiri kwa wanawake wanaohisigi kuwa hawatendewi haki na wanaume wanaowabadilikiaga wakishika pesa. Wanashangaaga sana kwanini wanaachwa ghafla ila jibu liko wazi kupitia hii comment.
 
Safi sana Carleen, yani kama mtu unataka mume, just look for someone ambae mnaweza kuanza maisha pamoja, sio mtu ambae unaende kudandia maisha ambayo alishajenga foundation siku nyingi

Sema wadada wa kibongo hii theory ilishawashinda
Wao wanataka kulamba icing sugar tu😂😂😂 ila hustles za kutengeneza cake from scratch hawataki!

Ubaya wa hilo ni kwamba lazma muwe msururu tu maana kila dem matamaa anataka bwana awe wake ili awatambie mashosti wake.
 
Somtyms kumkuta mwanaume kajipanga ni shida wengi wao wana vibur maana hukuwepo alipokua akihangaika kutafuta so anaweza kukuchulia poa tu

Lakini pia kuanza maisha na mwanaume akiwa Hana kitu hakufanyi akuthamini Kwa vile nmeanza wote tumeshuhudia wengi wakiumizwa na watu waliotoka nao chini baada ya kufanikiwa
Cha muhimu upendo wa dhati tuu
Wengi huachwa sababu ya kuishi na mwanaume kwa madharau na kejeli nyingi kama vile unamfanyia favor kuwa nae sababu hana lolote la maana 😂😂😂!!!

Siku akifumania channel ya mapene mziki lazma uwe mnene! Ukileta fyoko unaokota virago barazani 😂
 
mmmh yani huu uzi umenishangaza, na mawazo kama haya ndo yameleta wanaume marioo, wasiotaka kufanya kazi ndio mana wadada wengi dunia ya leo unakuta mtu anajitolea hadi mahari aolewe, mwingine anaishi na mwanume lakini mwanaume hela yake ni pombe na wanawake hajui kodi ya nyumba wala watoto wanakula nini, huwa najiuliza mtu anawezaje kuishi na mwanaume wa namna hii, ila sasa nimeanza kupata majibu. Tunasahau kwamba kiasili mwanaume ameumbwa kutafuta, mimi kazi yangu kuzaa na kutunza familia, kuchangia kwangu ni ziada tu so mimi kama mwanamke kuwa nacho au kutokuwa nacho haitakiwi kuwa sababu kabisa kwenye mahusiano, na kiukweli naishukuru hiyo mentality manake mimi mwanaume ambae hana kitu nilikuwa simtaki, na nimeolewa na aina ya mwanaume nilikuwa namtaka na kaka wa watu wala hajui hata mshahara wangu na huwa haulizi, sio kama sichangii chochote lakini nachangia kwa kupenda kwangu vile nnavyojisikia. Mama zetu waliolewa enzi hizo na wanaume wenye pesa au hata wenye maisha ya kawaida tu wao wakiwa hawajasoma wala hawana kazi, auunakuta ana kazi lakini akiolewa tu anaambiwa acha kazi na waliishi maisha mazuri sana, mana the purpose was clear kazi ya mwanaume na mwanamke ilikuwa very clear kwenye ndoa, lakini wanawake wa sasa mnayakaribisha matatizo wenyewe, eti mkatafute wote kheeeeeeeeeee
You have a point ila kaa ukijua kuwa as years have gone na maisha yamebadilika sana. Utandawazi pia umeleta changamoto zake kadri siku zinavyoenda mbele maisha yamekuwa magumu na yanazidi kuwa magumu tokana na mfumo ambao tuli adapt wa haki sawa na upendeleo zaidi kwa akina mama na Education system.

Namna ya kuendesha maisha formally ilikuwa through white collar jobs. Fursa za kuajiriwa zimekuwa finyu isitoshe ndio hizo hizo watu wanagombania pamoja na watoto wa kike. Another option ni kujiajiri which is not a thing for everyone unless uwe na karama ya biashara ama utokee familia ambayo iko well of na ukawa pre-exposed na mifumo ya kujitegemea kibiashara.

Other than that uta lag behind na hii imeathiri kundi kubwa la vijana ambao ndio wanasakamwa kuwa hawataki kazi ilihali kazi zenyewe hakuna na ni ngumu kupatikana kadri siku znavyosonga mbele.

Katika hili kundi ndio kuna ambao wametokea kusaidiwa (TAG Ubavu) na wapenzi wao wa kike ili kujaribu maisha kivingine kwa kusaidiwa mitaji na kuwa facilitated ili waweze kutoboa ila ndio wanapewa ubini wa marioo na baadhi ya wanawake ambao wanaona mwanaume kupewa msaada ni dhambi ilihali wao wakike wengi ndio hubebwa zaidi na ME wao.
 
Hivi mwanaume anapotafuta mwanamke...Kipato cha mwanamke ndo kinatakiwa kuangaliwa...

Dada wewe kuwa nahela haimaanishi Kwamba that is something extra unacho bring apart from vagina..

Kwa mwanaume mwenye hela zake na mafanikio..hizo hela zako wewe Wala Hana habari zako...

Mnavyolazimisha mwanamke abring something else apart from papuchi.
A women makes a house a home, anakuwa tulizo kwa mwanaume analea watoto na kusimamia nyumba..

Wewe mwanamke kuhangaika usiku na machana kutafuta hela wanaume wengi hawapendi..ila hawana namna kwasababu ya Hali ya maisha...

Msilasimishe hoja Kwamba lazima mwanamke nae alete pesa nyumbani eti ndo uanamke wake utimie..NOP

HIYO SIO.KAZI YA MWANAMKE KIASILI.
Katika siku umecomment point ni hii ya leo...Agiza kinywaji chochote kwa bill yangu ntalipa!
 
Anaweza akawa anakili kitu but asiwe na akili ya kuendesha zile mali zake

Hebu rudia tena,

Yaan mtu ana kila kitu kwa juhudi zake halafu hana akili ya kuendesha mali zake...!!!!!!!!!!!!!!
 
Kuanza pamoja is overrated.

Unaanza nae unakuwa " the woman he can get ", mkipasua anatafuta "the woman he actually wants " [emoji2960][emoji2960] . Wanaume wengi wanasettle na wanawake kupunguza makali ya maisha lakini si kwamba mapenzi ni ya dhati.

Kama Mimi Ni broke or not, kama ningekuwa approached na mtu alietafuta mwenyewe I will know I am the woman he actually wants.
Umeongea point kubwa sana
 
Hebu rudia tena,

Yaan mtu ana kila kitu kwa juhudi zake halafu hana akili ya kuendesha mali zake...!!!!!!!!!!!!!!
Wapo wengi hawana muongozo mzuri. Akikukuta unaakili unampa wazo afanye ivi aongeze mradi upi n.k
 
Wengi huachwa sababu ya kuishi na mwanaume kwa madharau na kejeli nyingi kama vile unamfanyia favor kuwa nae sababu hana lolote la maana 😂😂😂!!!

Siku akifumania channel ya mapene mziki lazma uwe mnene! Ukileta fyoko unaokota virago barazani 😂
Hahaaa anakua anakulia timing uharibu alianzishe
Lkn wanasema pata hela tujue tabia yako wana vibur wengine wakizikamata
 
Hivi mwanaume anapotafuta mwanamke...Kipato cha mwanamke ndo kinatakiwa kuangaliwa...

Dada wewe kuwa nahela haimaanishi Kwamba that is something extra unacho bring apart from vagina..

Kwa mwanaume mwenye hela zake na mafanikio..hizo hela zako wewe Wala Hana habari zako...

Mnavyolazimisha mwanamke abring something else apart from papuchi.
A women makes a house a home, anakuwa tulizo kwa mwanaume analea watoto na kusimamia nyumba..

Wewe mwanamke kuhangaika usiku na machana kutafuta hela wanaume wengi hawapendi..ila hawana namna kwasababu ya Hali ya maisha...

Msilasimishe hoja Kwamba lazima mwanamke nae alete pesa nyumbani eti ndo uanamke wake utimie..NOP

HIYO SIO.KAZI YA MWANAMKE KIASILI.
Umenenaa hasaa

Mwanamke hajui kubadilisha oil ya gari, hajui kuendesha semi-trailer, hajui kusafisha bunduki, hajui kutegua bomu la nyuklia.... Hajui kupigana na predator.

Huyo mwanamke me wa kazi gani..... Si bora ni bakie pekee yangu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wao wanataka kulamba icing sugar tu😂😂😂 ila hustles za kutengeneza cake from scratch hawataki!

Ubaya wa hilo ni kwamba lazma muwe msururu tu maana kila dem matamaa anataka bwana awe wake ili awatambie mashosti wake.
Ila wanawake kupangwa msururu sio issue kwao sana as long as jamaa anampunga. Si unaona mond anavyowapanga na bado wanazidi kushoboka
 
Back
Top Bottom