Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Jamani dom hakuna wadada, tangu thread imewekwa. kama vipi njoo moro mwaya.
Evelyn Salt wakaka tupo huu mkoa wa wagogo..... tukuone wapi?
ningekuwepo labda........................ila sasa vijiwe vichache!!!
cc Kaizer
Huyu Evelyn Salt anatuzingua naona Paloma
Huyu Evelyn Salt anatuzingua naona Paloma
ngoja na sie tumzingue..........badae tuka-mbuzike pale pale opposite Bima!
Mi wala sizingui, sahivi nipo jacana napata kitumoto kama upo around karibu
Muda mrefu naboreka sana kwa kukosa kampan....
nilizoea sana kampani za wanafunzi wenzangu nilipokuwa nasoma, yani tangu nimalize kusoma sina marafiki wa kutembeleana nao, kutoka wala kuzurura, shemeji yenu yupo mbali ndo nachoka kabisa
Nahitaji marafiki asee, ladies mliopo dom tuwasiliane plz hobby yangu ni kuzurura
men sijawatenga nyie tutakutana hapa hapa...
fanya kazi ,uzururaji haufai...............
hivi kumbe ndiyo ulikuwa huko!!!!??????
Haya,mida mida tukutane Nyerere square...
mmhh.. usalama utakuwepo kweli?
Asilimia mia...