Ladies mliopo Dodoma...

Ladies mliopo Dodoma...

Heeeee.....makubwaaa!!!
Mie mkeo tangj lini? We nilikuacha kwa kuwa ulikuwa mbahili sana.

Nilikwambia unitumie pesa ukauchuna, wenzio wananibeba jumlaaaaa👋👋👋👋👋
Nikija dom ntafanya malipizi sweetheart 😘 ungekuwa dsm ingekuwa bora zaidi
 
🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️
 
Aiseee 😃😃😃
Threads za zamani zilikuwaje sijui ingawa nina miaka 14 humu sikuwahi kuwa na threads kama hizi
 
Muda mrefu naboreka sana kwa kukosa kampan....
nilizoea sana kampani za wanafunzi wenzangu nilipokuwa nasoma, yani tangu nimalize kusoma sina marafiki wa kutembeleana nao, kutoka wala kuzurura, shemeji yenu yupo mbali ndo nachoka kabisa
Nahitaji marafiki asee, ladies mliopo dom tuwasiliane plz hobby yangu ni kuzurura
men sijawatenga nyie tutakutana hapa hapa...
Nije nikutembelee basi
 
Tulia tulia mkuu
Dogo nakukanya acha kumsumbua shemeji yako.. wewe ni wa juzi sana hapa jeiefu angalia mimi na Evelyn Salt tunavyoendana yy 2013, mimi 2011..
Wewe sasa 2023..
Screenshot_20241219-001819.jpg
 
Kuchelewa kjiunga JF haimaanishi kuwa mimi ni mdogo kuna wazee wa 74+ wamejiunga 2020 humu
Wewe dogo..
Ila mdogo wangu wa faida ✌️😅🤣 kitj sijapenda ni stress uliyompa bby wangu.
 
Back
Top Bottom