Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Sasa nani jamaniiii🙃🙃🙃Mi sio mwanachuo kipenzi 😭😭😭
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa nani jamaniiii🙃🙃🙃Mi sio mwanachuo kipenzi 😭😭😭
Business man loveSasa nani jamaniiii🙃🙃🙃
Nikija dom ntafanya malipizi sweetheart 😘 ungekuwa dsm ingekuwa bora zaidiHeeeee.....makubwaaa!!!
Mie mkeo tangj lini? We nilikuacha kwa kuwa ulikuwa mbahili sana.
Nilikwambia unitumie pesa ukauchuna, wenzio wananibeba jumlaaaaa👋👋👋👋👋
Haya karibu nakusubiriNikija dom ntafanya malipizi sweetheart 😘 ungekuwa dsm ingekuwa bora zaidi
Kwani zipoje mkuu!Aiseee 😃😃😃
Threads za zamani zilikuwaje sijui ingawa nina miaka 14 humu sikuwahi kuwa na threads kama hizi
Nije nikutembelee basiMuda mrefu naboreka sana kwa kukosa kampan....
nilizoea sana kampani za wanafunzi wenzangu nilipokuwa nasoma, yani tangu nimalize kusoma sina marafiki wa kutembeleana nao, kutoka wala kuzurura, shemeji yenu yupo mbali ndo nachoka kabisa
Nahitaji marafiki asee, ladies mliopo dom tuwasiliane plz hobby yangu ni kuzurura
men sijawatenga nyie tutakutana hapa hapa...
NjooNije nikutembelee basi
Christmas labdaNije nikutembelee basi
Nakuja dodoma.. wine tutaongea kikubwa ila nasikitika kuniabisha kwa mdogo wangu PSL god .. 😰😰Heeeee.....makubwaaa!!!
Mie mkeo tangj lini? We nilikuacha kwa kuwa ulikuwa mbahili sana.
Nilikwambia unitumie pesa ukauchuna, wenzio wananibeba jumlaaaaa👋👋👋👋👋
Dogo nakukanya acha kumsumbua shemeji yako.. wewe ni wa juzi sana hapa jeiefu angalia mimi na Evelyn Salt tunavyoendana yy 2013, mimi 2011..Tulia tulia mkuu
Kuchelewa kjiunga JF haimaanishi kuwa mimi ni mdogo kuna wazee wa 74+ wamejiunga 2020 humuDogo nakukanya acha kumsumbua shemeji yako.. wewe ni wa juzi sana hapa jeiefu angalia mimi na Evelyn Salt tunavyoendana yy 2013, mimi 2011..
Wewe sasa 2023..View attachment 3179929
Wewe dogo..Kuchelewa kjiunga JF haimaanishi kuwa mimi ni mdogo kuna wazee wa 74+ wamejiunga 2020 humu