masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Yaani mimi kutumia tu hela yangu kwa matumizi yangu naona naumia.
Je, Kwa kumtafutia viza, kumsafirisha mpaka London mtoto wa mama mkwe, kufunga nae harusi, kumlea na kumsomeshea mwanae uliyemkuta nae kwa pesa yako..... eeeh watu kuweza.
Sometimes naona hata sio suala la uzuri au age imeenda yaani Kuna kitu naona kama kimekuwa trend huu moyo wanawake wenzetu wanautoa wapi? Umchukue tu kijana umleee? In exchange of what?
Watu wanamsema Mbuta Nanga, oooh age imeenda hana uzuri embu niambieni tu hii list ya macelebs;
1. Zari
2. Shishi
3. Aunt Ezekiel
4. Rihama Ally (Sina uhakika na jina
5. Sepetu
6. Uwoya na mtoto wa Jack Pemba, Dogo janja
7. Wolper
Hawa ni wazuri na bado umri uko vizuri wanapata nini Kwa hawa Mariooo na huu moyo wa kipekee wa kulea hawa viumbe wanautoa wapi?