Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ahalalishe ndoa watu tule ubwabwa sio yale maigizo 😅[emoji1787] Hiyo ni roho mbaya. Mwenzenu kapenda ebu muacheni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahalalishe ndoa watu tule ubwabwa sio yale maigizo 😅[emoji1787] Hiyo ni roho mbaya. Mwenzenu kapenda ebu muacheni.
Ben Paul alikosea kulazimisha mambo mwishoni ndoa ikafa, yule binti dada yake alikufa kifo chenye utata sana kwa mumewe yule msomali beach boy inasadikika dada yake alirushwa ghorofani na mumewe nadhani ishu ni ile nyumba ya Mombasa karibu na beach ili jamaa aweze ishi tena na ex wake wa kiholanzi bila karaha, sasa binti ile picha ya manyanyaso,vipigo,mizinga,matusi,umarioo nk kwa dada yake toka kwa mumewe bado ilikuwa kichwani mwake inamsumbua hivyo alikuwa makini kumchunguza Ben namna anavyoishi nae je atasimama kama mwanaume au ni marioo tu.Been Paul naye alikula Sana hela za Anelisa Muigai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sina mwanaume wa kuniomba pesa,
Hata kwa umri huu nikiomba laki natumiwa chap.
Shauri zenu mnaohonga wanaume
Nawe ujiandae utakapodondokeaWhozu mwanangu sana alafu classmate tunajuana japo sijui alikula maharage ya wapi akadondokea kwa yule Bibi
hahah kobazi nyeupe. kweli hawa wanajulikana wako na shida kwa brainKuna Ile mwanaume anapambana ila mambo hayakai sawa....na unakuta tayari mnaishi pamoja au kitu kama hicho....
Ila Kuna wale kazi Yao kuvaa kobas za mpira na soksi nyeupe aaaaa maisha nikimuona naita polisi
Yes aliniambia.. alikuonya hukusikia onasasa matokeo yake[emoji1787]Nikienda na mama yako ndo aliyekupa hii taarifa...
Mtoto WA kiume unataka vya Bure utapakatwa
Aisee Mimi hata ajitume mpaka huko basi Ila suala la kumhonga ni big big No,, nahitaji Mwanaume anayejitambua anayeweza jitunza yeye na kunitunza Mimi piaMimi kwanza mwanaume akiniomba hela tu, baasi. Yaani ninamuona kama mavi. Hao wanawake wanaohonga ni Nye ge tu zinawasumbua, basi na vile vijana wanajituma kwenye 6 ×6, baasi wanawake wanadata kabisa.
Kwa yule wa taaamiseeemi 😂Nawe ujiandae utakapodondokea
yeahHahahah penzi halijijichibuongi
[emoji1787]Whozu mwanangu sana alafu classmate tunajuana japo sijui alikula maharage ya wapi akadondokea kwa yule Bibi