Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Unatakiwa ukiprovide na yeye ajutie kupewa vya bure. Yaani ukitaka mchezo hamna story za sijui leo anaumwa sijui nini ni gemu gemu. Akisema hataki sijui nini unamzingua. Unaenda kutomba nje akilalamika unamwambia unataka nifanyeje sasa nakupa kila unachotaka unanipangia cha kupata kwako ndio maana nagonga hadi rafiki zako.Ndio maana tuliambiwa tuishi nao Kwa akili usishangae mwanamke akakupenda coz unaprovide lakini wao hawanaga uvumilivu ukikosa au ukiwa huna hawezi kukupenda tena atakutafutia sababu tu
Hivi ndio wanawake wanatufundisha namna ya kuishi nao. Tukiishi nap kistaarabu na kwa mapenzi wanatuchukia.