Ladies Talk: Kufuatia kisa cha Mbuta Nanga

Ladies Talk: Kufuatia kisa cha Mbuta Nanga

Hapana ,some times akiwa na shida au nikiwa nimekwama kusaidiana ni sawa,ila sio tarehe 1 ninakupa paundi 1000,tarehe 5 the same, mind you that wewe haujawahi nipa hata mia.
Sasa kama wewe mapato yako labda ni milioni 10 kwa mwezi na mwanaume wako mapato yake ni labda milioni moja.

Unategemea yeye akupe zaidi kuliko wewe unavyompa?! Nadhani unatakiwa kuishi kwa uhalisia na sio kwa nadharia za kimapokeo.
 
Humu JF mwanaume anakufuata DM eti anaomba hela,hapo anakuambia yupo ndani kwake anaangalia bunge.Kweli mwanaume unashinda ndani kuangalia bunge?Si bora utoke nje ukabebe hata zege jamani.
Wewe ukimsaidia utapungukiwa nini kwani?! Kwani kuangalia bunge ni dhambi ya umauti?!

Si anatazama Bunge ili sheria za ajabu ajabu zisipitishwe?! Halafu wewe kwani ukibeba zege halafu hiyo hela ukamtumia utapungukiwa nini lakini dada?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo lako unataka kuruka stage unaanza kujipa wazo la kumtunza mwanaume wakati we mwenyewe pesa ya kujitunza huna ni lazima tu utaona ni maajabu
Pambana kwanza na umasikini wako alaf baadae ukishaweza kujihudumia vizuri we mwenyewe ndo utajua msimamo wako kama ni kweli unaweza au huwezi

kwa Sasa usiruke stage jipambanie kwanza uweze kujihudumia hao wenzako uliowataja wanaweza kujihudumia
 
Nakujibu kwa kirefu Dada Masai,
Huyo unayemshangaa anawezaje ni kua amesha timiza ndoto zake zote sasa alichobakiza ni kupata penzi moto moto ili afe kwa tabasamu na sio maumivu,
Niliona interview ya Zari alisema alimuomba mumewe mahari ya Qur'an pekee, hakuona kitu kingine cha kumuomba sababu yeye kila kitu anacho, pesa, magari mazuri, vacations nchi mbali mbali, n.k

Sisi tunaona haiwezekani kwa kua bado tunatafuta ila tukishafika levels za kua na kila kitu unabakiza furaha tu na furaha ya mtu wa miaka 40+ au 50+ ataipata kwa wachini yake sio wazee wenzie waliojichokea kwa maradhi ya kudumu ama wengine wameoa wake zaidi ya mmoja utapata wapi kujiachia na kupetiwa petiwa atakavyo,

Nasikia hao Marioo wanajua mahaba kama wanaenda kozi vile na mama akikolezwa vema why not asitoe ahsante.
Mmmmmmhmn huu mtego sio bure. Sasa ina maana unazungumzia wanawake ambao age imeenda kuwanunua vijana wadogo, huyo kijana atakaa na wewe miaka yote na amekuja kutafuta masilahi yake kwako?!

Halafu unahisi mwanamke wa miaka 40+ hata maumbile yake yanamruhusu kumdatisha kijana wa miaka below 40?

Huu ni upotezaji muda na kujidhalilisha ingekuwa ni hivyo basi wanawake wote including mama zetu wangekuwa wanatoka na vijana wadogo wa rika lisilo lao.

Halafu ni kujidhalilisha kwa mwanamke kumkalia utupu kijana rika la mdogo wako, mpwa wako au mtoto wako.
 
Kama unajichanga hazitimii tupo wote baby...
Ila unaamka unaenda gym...unarudi unapiga chai nzito unarudi kulalA unasubiri nije na groceries to feed ur ass's..
.am soleeeeee Naita polisi nikikuona
But i need to look good for you beib[emoji23][emoji23][emoji23] just let me be that sweet chocolate candy bar on a bed for you. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom