Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahah we ni wa kuogopwa kumbeMwanaume atakayekula hela yangu ni ambae amekua akinisaidia kifedha kisha itokee mambo yake yaende vibaya.
Sio umetoka huko na sharubu zako ulete swaga za mim kukulea.
Kusaidiana imo ila kiasili mwanaume ndo anatakiwa awe muhudumiaji.
Hata mwanamke uwe tajiri vipi ila mwanaume wako akikupa hata buku kuna karaha fulani wanawake tunapata.
Hivi mwanaume anaweza kweli kusimama kiume akamfokea mwanamke anayemlea?
Bora kulea yatima kuliko kulea dume lenye nguvu kuliko mimi.