Ladies Talk: Kufuatia kisa cha Mbuta Nanga

Ladies Talk: Kufuatia kisa cha Mbuta Nanga

Been Paul naye alikula Sana hela za Anelisa Muigai
Ben Paul alikosea kulazimisha mambo mwishoni ndoa ikafa, yule binti dada yake alikufa kifo chenye utata sana kwa mumewe yule msomali beach boy inasadikika dada yake alirushwa ghorofani na mumewe nadhani ishu ni ile nyumba ya Mombasa karibu na beach ili jamaa aweze ishi tena na ex wake wa kiholanzi bila karaha, sasa binti ile picha ya manyanyaso,vipigo,mizinga,matusi,umarioo nk kwa dada yake toka kwa mumewe bado ilikuwa kichwani mwake inamsumbua hivyo alikuwa makini kumchunguza Ben namna anavyoishi nae je atasimama kama mwanaume au ni marioo tu.
unfortunately Ben nae strategic plan yake haikufanya kazi vizuri, inahitaji akili ya hali ya juu kukaa na mtu ambaye ni msomi,anapesa, mzuri ana exposure nk, mapenzi peke yake hayatoshi kuna wakati nature inabidi ichukue nafasi na inahitaji uwe hatua mbili mbele dhidi yake kifikra.

Sadly, mchaga alishindwa kumsoma before ex wife wake.
 
Nikienda na mama yako ndo aliyekupa hii taarifa...
Mtoto WA kiume unataka vya Bure utapakatwa
Yes aliniambia.. alikuonya hukusikia onasasa matokeo yake[emoji1787]

Kumkojoza tu mwanamke mwenye ki*imi chake kunatoa jasho ndo maana wenzako wenye vi*imi vyao wanahonga wasimamia kucha..
 
Mimi kwanza mwanaume akiniomba hela tu, baasi. Yaani ninamuona kama mavi. Hao wanawake wanaohonga ni Nye ge tu zinawasumbua, basi na vile vijana wanajituma kwenye 6 ×6, baasi wanawake wanadata kabisa.
Aisee Mimi hata ajitume mpaka huko basi Ila suala la kumhonga ni big big No,, nahitaji Mwanaume anayejitambua anayeweza jitunza yeye na kunitunza Mimi pia
 
hahaha nimekumbuka kipindi nimepigika mtaani sina mwelekeo siku moja nimelewa zangu vitoko na mpepe jimama likashoboka huo Moto nilimpelekea hakuamini maana kichwani nilikuwa njwii aliniokoa Sana vipesa vya hapa na pale nampataje huyo mbuta 😂😂😂
 
Maneno mengi ila still kila mtu anaishi anavyotaka binafsi , hakuna maisha yenye kanuni fulani ,kila mtu ashinde mechi zake ,kichaga mbuta nanga ni bora hata ,na mimi nasema bora hata yeye anahizo za kuhonga.
 
Back
Top Bottom