Karibu, njoo uchukue usijali.Naomba kidogo..
Nachukulia wapi sasa.. I'm siriaz
Nachukulia wapi sasa.. I'm siriaz
Unaniwekea kwenye flash
Ahahah kwanini?, flash ninayo nakuwekea. Apo ni ww mwnyw tuu ujue utazifata kwa njia gn.Jibu laonyesha nyimbo hazitapatikana
Location please inasoma wapi?
roselina john,
Na sisi tuliopenda miziki ya Pepe kale, Kanda Bongoman na Papa Wemba, tumo?
Shida ni moja, ukicomment tu humu unaonekana Lady.
Ndio maana wengine tume upload tu muziki na kusepa bila kuweka neno lolote.Shida ni moja, ukicomment tu humu unaonekana Lady.
Mtoa mada acha ubaguzi