Ladies tunaopenda Muziki wa Kongo tuonane kwa hii thread

Ladies tunaopenda Muziki wa Kongo tuonane kwa hii thread

Hiyo pia naipenda sana

Alafu Mbona hawa wenzetu hawazeeki wala mziki wao hauchuji[emoji1438]‍♀️

hawazeeki kwa sababu ya pesa mkuu mfano niliona clip youtube ya maisha ya fally ipupa ni tajiri mno

muziki wao hauchuji kwa sababu wanaimba vitu vya maana, na kila mtu yupo creative sasa hapa bongo diamond alijikita kuimba anasifia uzuri wa mwanamke basi karibu kila mwanamuziki sasa hivi anaimba hivo mara waimbe mambo ya kitandani tu , mimi sijafikisha miaka 30 lakini huwa nasikiliza nyimbo za miaka ya 70 huko

kwa mfano jana nimesikiliza wimbo wa franco unaitwa liwa ya kabasele kaimba kitambo mno ila nimeupenda


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom