Kuna ka ukweli kabisa, kwa miaka mingi leo nimemuona hubby kafurahi!!!
Halafu mbaya zaidi ni shabiki wa Yanga...natamanigi kumwambia aache kushabikia hayo matimu maana namuona anateseka, lakin najua hawezi kunisikiliza...naishia kumsapoti tuu!!
Aaaaah babeeeeh mie nakupenda tyuuuh hivoooh, hata usiponipa hela wala haina shda, napenda mvumilivu na unanipenda kwa dhati, lol [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hapana sisi sio wabahili ila tunatengeneza zana zetu wenyewe alafu pia tunaomba mtupende tu kama tulivyo maana ndivyo tulivyo na Arsenal tumeipenda kama ilivyo.
Ataanzia Second round qualification Europakwa hiyo spurs haendi europa?
Wacha weeee [emoji7][emoji7] umenifanya siku yangu leo iende vizuri [emoji173] [emoji8][emoji8] I love you tooAaaaah babeeeeh mie nakupenda tyuuuh hivoooh, hata usiponipa hela wala haina shda, napenda mvumilivu na unanipenda kwa dhati, lol [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hongera mkuu, Yanga badilisheni mfumo wa uendeshaji uwe wa kisasa mtafanikiwa sio hii kama jana Nyonzima kasainiwa sebuleni kwa mtu [emoji23], Morisson hamjui analala wapi [emoji23][emoji23][emoji23]Huyo tuko pamoja Mimi Ni shabiki wa yanga na Arsenal hakika hata kwenye mahusiano Nina uvumilivu wa kiwango Cha SGR na Leo wife kanipa hongera baada ya kukabidhiwa ngoja nipumzike ntapongezwa Tena alfajiri
Hapa wadada wasipokuelewa wasije kutafuta mchawi mbeleni....Kwanza hongera kwa wana Arsenal wenzangu kwa kubeba ndoo ya FA leo. Go Gunners
Back to topic, kwa madada wote mnaotafuta wenza bora wa maisha, kama hufanikiwi katika nyanja hiyo nawashauri jaribu kuanzisha mahusino na mkaka shabiki wa Arsenal.
Faida zake
1. Uvumilivu
Sisi ni wavumilivu sana, hata timu ifungwe goli 8, hatusaliti chama.
Na pia uvumilivu huu unaakisi kwenye mahusiano, tunavumilia changamoto zote za kwenye mahusiano, mara nyingi tukipenda hatuachi, hadi tuachwe sisi.
2. Uaminifu
Tunaamini tulichonacho ndicho tulichopewa na Mungu, hatutafuti kingine.
Tunapenda wapenzi wetu saaana ila sio kama Arsenal, always Arsenal first.
Tukiwa na mchepuko ni ngumu sana ku-maintain mafiga matatu, utajua tu.
3. Sio walevi
Hahaha hizo imani za uswahiliniHahahaha! kuna jamaa alipokuwa shabiki wa arsenal shida zilikua haziishi, baada ya kuachana na hiyo timu sikuhizi anatembelea gari.
Ur ma light, am ur shadow, never ever wannah let u goh,Wacha weeee [emoji7][emoji7] umenifanya siku yangu leo iende vizuri [emoji173] [emoji8][emoji8] I love you too
Hahahahh mkuu umeeleweka Sana kiukweli tunahitaji kufanya Jambo hapo jangwani maana tumedharaulika Sana na watani zetu, angalau mwakani tubebe kombeHongera mkuu, Yanga badilisheni mfumo wa uendeshaji uwe wa kisasa mtafanikiwa sio hii kama jana Nyonzima kasainiwa sebuleni kwa mtu [emoji23], Morisson hamjui analala wapi [emoji23][emoji23][emoji23]
Usikose kuangalia yatakayotoea Sumbawanga leo
Naam ahsante Sana hapa nimenunua maziwa na nyama ipo tunaendelea kuangalia marudio ya game hakika tumefurahi SanaKweli wastahili pongezii!!!! Maana mnaiman kubwaaa, plus uvumilivu na hamjawah kukata tamaa!!!
Thank you love [emoji7]Ur ma light, am ur shadow, never ever wannah let u goh,
Ur ma shyneeh, when am in troubed babeeeh yeaaaah.
Nakupenda moaaaah wa ubavu wangu, enjoy it [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590].
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
so europa zaenda timu 3?Ataanzia Second round qualification Europa
Ni vizuri kuona Simba na Yanga zinashindana kimataifa kama Wydad na Raja Casablanca, Al Ahly na Zamalek au Espérence de Tunis na Étoile du Sahel, viongozi wetu wakiacha kuendesha timu kienyeji na Mazoea tunaweza kufika nusu fainali kila mwaka.Hahahahh mkuu umeeleweka Sana kiukweli tunahitaji kufanya Jambo hapo jangwani maana tumedharaulika Sana na watani zetu, angalau mwakani tubebe kombe
Yesso europa zaenda timu 3?
Na hapo wamebeba kombe, sijui wasingebeba kombe sijui ungesema wana nini!Kwa Aseno nimeshuhudia gundu mnalo
[emoji171][emoji171][emoji171]Thank you love [emoji7]
Na uzuri Ni kwamba hizi timu zetu Zina fan base kubwa Sana Ila viongozi wetu na mfumo wa uendeshaji ndo hauendani na soka la wakati huu, Mpira wa Sasa Ni uwekezaji na siyo maneno manenoNi vizuri kuona Simba na Yanga zinashindana kimataifa kama Wydad na Raja Casablanca, Al Ahly na Zamalek au Espérence de Tunis na Étoile du Sahel, viongozi wetu wakiacha kuendesha timu kiejeni na Mazoea tunaweza kufika nusu fainali kila mwaka.